Rais Magufuli katumbua wote waliotia nia kasoro Godwin Kunambi

Nae huyo Kunambi ni Mkurugenzi cheo au jina tangulini Mkurugenzi akapatiwa bodyguard? Hebunipe sifa za cheo cha ukurugenzi tena wa Jiji
 
Magufuli aliwatumbua kwa mbwembwe wateule wake wote waliotia nia sehemu mbalimbali, maarufu zaidi akiwa kijana wake mpendwa Makonda.

Cha ajabu mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi alitia nia huko Morogoro, jimbo la Mlimba na akatoka ngoma droo na binti wa mama Rwakatare aitwaye Rose Hellen Rwakatare, lakini kunambi karudi ofisini jijini anaendelea na kazi kana kwamba hakukiuka maagizo ya Magufuli.

Magufuli kwanini katumbua wote isipokuwa Kunambi? Ndio mtoto pendwa mteule ???

Wajuzi tujuzeni.
Itakuwa huyu kuna jambo la siri
 
Unajua waliotumbuliwa kweli? Sasa nikueleze kitu ndugu, CCM ya Magufuli inaweza kufanya kosa la karne na ikajutia. Mfumo/ mifumo ya CCM inaendeshwa kwa Rushwa na Ulaji (hata wajumbe wanajua na kula yao ndipo ilipo). Sasa mkiwaengua ambao walitumia ulaji/Rushwa/ utaratibu ndani ya chama ni dhahiri mnataka kutoboana macho wenyewe na itafika ile ya "Tukose wote". CCM ambaye hakutumia Rushwa hata kidogo ni aliyepata kura 0. Hakuna mjumbe hata mmoja wa CCM aliyepata kura moja (1) bila kuinunua/kuilipia. Nimuombe tu mwenyekiti wa CCM na kina Polepole Waache mfumo wa ndani ya chama utamalaki kama ilivyo kawaida. Otherwise mtakuja kunikumbuka.
Inahusiana vp na uzi?
 
Magufuli aliwatumbua kwa mbwembwe wateule wake wote waliotia nia sehemu mbalimbali, maarufu zaidi akiwa kijana wake mpendwa Makonda.

Cha ajabu mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi alitia nia huko Morogoro, jimbo la Mlimba na akatoka ngoma droo na binti wa mama Rwakatare aitwaye Rose Hellen Rwakatare, lakini kunambi karudi ofisini jijini anaendelea na kazi kana kwamba hakukiuka maagizo ya Magufuli.

Magufuli kwanini katumbua wote isipokuwa Kunambi? Ndio mtoto pendwa mteule ???

Wajuzi tujuzeni.
Shida ya Chadomo hata uelewa wa utendaji wa mifumo ya serikali ni zero.mradi tu umeandika
 
SI

SIO MSHAHARA WA JULAI TU KAMA BARUA YA MAAGIZO ILIVYOELEKEZWA ; BALI HATA AGOSTI NA INAWEZEKANA NA SEPTEMBA NA DESEMBA MKUU.....SABABU AGOSTI HAWAJAWEKWA NA NDUMBARO YUKO SILENCE. KUNA BAADHI YA WIZARA NA OFISI KAMA TAMISEMI, HABARI , WAZIRI MKUU NK HADI POSHO ZA NDANI WALIZOFANYIA KAZI PIA WAMENYIMWA WAKATI NI HAKI ZAO !
Hili jambo limenisikitisha na kuninyong'oneza sana. Kwa kifupi ukitangaza nia unayaweka maisha yako na familia yako rehani.
 
Hivi hilo linawezekana?
Magufuli aliwatumbua kwa mbwembwe wateule wake wote waliotia nia sehemu mbalimbali, maarufu zaidi akiwa kijana wake mpendwa Makonda.

Cha ajabu mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi alitia nia huko Morogoro, jimbo la Mlimba na akatoka ngoma droo na binti wa mama Rwakatare aitwaye Rose Hellen Rwakatare, lakini kunambi karudi ofisini jijini anaendelea na kazi kana kwamba hakukiuka maagizo ya Magufuli.

Magufuli kwanini katumbua wote isipokuwa Kunambi? Ndio mtoto pendwa mteule ???

Wajuzi tujuzeni.
 
Aisee nadhani wewe Ndugu yangu hujui chochote kuhusu masuala ya utawala wa nchi..kuna political appointments na teuzi nyingine..wale wengine wanaomba ruhusa tu au pengine likizo bila mshahara..wale wa kisiasa ni tofauti..

DED pia walitumbuliwa mkuu mfano ni yule Anaclaire mtoto dkt Shija alikua DED same alitumbuliwa usiku usiku
 
Nae huyo Kunambi ni Mkurugenzi cheo au jina tangulini Mkurugenzi akapatiwa bodyguard? Hebunipe sifa za cheo cha ukurugenzi tena wa Jiji

Kumbe ana Body guard???

Kwahiyo unataka kusema kwamba kile cheo sio chake au?
 
DED pia walitumbuliwa mkuu mfano ni yule Anaclaire mtoto dkt Shija alikua DED same alitumbuliwa usiku usiku
Unajua hata kwenye familia ukiwa mtoto wa kambo wenzio wakienda kucheza bila ruhusa wewe omba ruhusa, ukiwaiga bakora zinakuhusu
 
Back
Top Bottom