Rais Magufuli: Kama vyuma vimekaza, weka grisi vilainike

Dec 1, 2017
39
125
Mh. Dr. John Pombe Magufuli ktk hafla yake na waalimu jana tar.14/12/2017

Aliahidi kuwa yuko pamoja na walimu na anawapenda sana.

965338E0-06B7-4D32-9EAC-3447262479BB.jpeg

Pia aliwahakikishia hatawatupa mkono bali waungane pamoja kuijenga nchi yetu na kulinda raslimali zilizopo,

Atajali masrahi ya walimu na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili.

Pia alisema wale wote wanaozungumza vyuma vimekaza waweke gris vilainike,

Maana wengi wao wanaolalamika ni wale walikuwa wakisaini mikataba hewa, waliokuwa wanachukua mishahara hewa na wale wa vyeti feki,

Watu hao vyuma havitakaza tu bali vitavunjika kabisa.
 
Tairi bovu

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
3,067
2,000
Mh.dr. John Pombe Magufuli ktk hafla yake na waalimu jana tar.14/12/2017

Aliahidi kuwa yuko pamoja na walimu na anawapenda sana.

Pia aliwahakikishia hatawatupa mkono bali waungane pamoja kuijenga nchi yetu na kulinda raslimali zilizopo,

Atajali masrahi ya walimu na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili.

Pia alisema wale wote wanaozungumza vyuma vimekaza waweke gris vilainike,

Maana wengi wao wanaolalamika ni wale walikuwa wakisaini mikataba hewa, waliokuwa wanachukua mishahara hewa na wale wa vyeti feki,

Watu hao vyuma havitakaza tu bali vitavunjika kabisa.
Lets be realistic .. raisi MAGUFULI ni kiongozi mbaya, mwenye frastation na alikuwa hajajiandaa kuwa raisi... mshamba na anayehisi ana maono. Huyu ni mfano wa viongozi wabaya kuwahi kutokea. Anamini kwenye maendleo vitu co watu
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,966
2,000
Nimeomba kuidhinishishiwa barua ili nipate mkopo kupitia akiba yangu kwenye moja ya mfuko wa jamii lakini afisa utumishi amekataa.Nimejarubu kumwambia kuwa hiyo ni haki yangu kwani ni akiba yangu,lakini hajanielewa.Nahitaji kuchagua njia moja wapo kutumia nyundo ama kuweka grease! Kuweka grease ndiyo kutoa kitu kidogo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom