MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,826
- 5,451
Mkuu baada ya kumaliza muhula wake uje usome comment yako.Kiongoz bora duniani huanza kuangaika na kutengeneza miundombinu itakayowawezesha watu kujiendesha.Mwache adili na maendeleo ya vitu,hata tusipofaidika sisi bas wajukuu zetu watafaidika.Lets be realistic .. raisi MAGUFULI ni kiongozi mbaya, mwenye frastation na alikuwa hajajiandaa kuwa raisi... mshamba na anayehisi ana maono. Huyu ni mfano wa viongozi wabaya kuwahi kutokea. Anamini kwenye maendleo vitu co watu