Helper Personal
Member
- Dec 1, 2017
- 39
- 37
Mh. Dr. John Pombe Magufuli ktk hafla yake na waalimu jana tar.14/12/2017
Aliahidi kuwa yuko pamoja na walimu na anawapenda sana.
Pia aliwahakikishia hatawatupa mkono bali waungane pamoja kuijenga nchi yetu na kulinda raslimali zilizopo,
Atajali masrahi ya walimu na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili.
Pia alisema wale wote wanaozungumza vyuma vimekaza waweke gris vilainike,
Maana wengi wao wanaolalamika ni wale walikuwa wakisaini mikataba hewa, waliokuwa wanachukua mishahara hewa na wale wa vyeti feki,
Watu hao vyuma havitakaza tu bali vitavunjika kabisa.