Rais Magufuli jembe

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,601
1,500
nina muda mrefu sijaingia jamii forum
pamoja tunalalamika na ukata
lakini utendaji kwenye taasisi za serikali afadhari angalau ukifika unasikilizwa na unashughulikiwa.
na ile tabia ya watumishi kututambia kwenye starehe hakuna wote tupo ndugu wakuelewana.
nimesema hayo kuna watu watanibeza hilo najua kwa watanzania.
 

donaldson don

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
629
500
Yeah kweli mkuu nikweli watu hawana shukrani kipindi kile wafanyakazi wa serikali wanawanyanyasa raia kelele kibao zilikuwepo eti viongozi wetu sio waadirifu leo kapatikana wakusimamia haki na uadirifu wanalalamika tena si bora mfe tu sasa...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom