Rais Magufuli, Je huoni na wewe Utumbuliwe?

Aisee hapa hakuna muadilifu kabisa,lkn sishangai bcoz hata malaika mtoa roho hajui kama cku yake ya kufa atajitolea roho yake mwenyewe na hapo ndio atajuta,atalia na kusaga meno,atasema laiti ningejua kama roho inauma namna hii nisingethubutu kuzitoa,Ruka ruka baba fanya ufanyalo ,tesa RAIA wako,ipo cku utasimama mbele ya Mwenyezi Mungu na kujibu haya unayoyafanya
 
kama ni kweli kibao cha kufunia nazi ni miongoni mwa viwanda nakubaliana na idadi ya viwanda kufika 2000
 
Kelele za chura hazimzuii Tembo kunywa maji
Hata km hazimzuii lkn anachofanya ni UNAFIKI MKUBWA KIWANGO CHA PHD. UNAPOTAKA KUMYOOSHEA MTU KIDOLE JIANGALIE KWANZA WW KM UNA MAKOSA. Awamu hii watz wameingia chaka sana. Wapiga dili wa uhakiki wa watumishi hewa na wale wabunge nao bado wanadunda tu. Aliyesema TZ ni kichwa cha mwendawazimu walikuwa sahihi 100%
 
Back
Top Bottom