Umezungumza kwa jazba ukasahau njia ikupasayo, halafu unasumbuliwa na siasa za kivyama ambazo hata mtu akifanya zuri lazima mwishowe umtoe kasoro. Napinga hoja zako kama ifuatavyo:-
1. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye amenunua ndege kwa ajili ya kuimarisha sekta ya uchukuzi,
2. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye amethubutu kupambana na kansa ya RUSHWA nchini kwa kuwatimua wahusika moja kwa moja au wahusika mviringo,
3. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye ameokoa takribani tshs 1,992,200,000/= kwa mwaka ambazo zingelipa Mawaziri na Naibu Mawaziri waliopunguzwa,
4. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye ameokoa takribani tshs. 719 bilioni kwa mwaka ambazo zingetumika kama fedha za matumizi mengineyo (OC) kwa Wizara zilizopunguzwa,
5. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye amefutilia mbali safari za kwenda nje ya nchi zisizokuwa na tija kwa taifa ambazo zilikuwa zikifanywa na viongozi wakuu serikalini,
6. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye ameongoza mapato ya serikali kutoka wastani wa kukusanya tshs. 500 - 700 billions (2014) hadi makusanyo ya tshs. 1+TRION kwa mwezi,
7. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye ameongeza uwajibikaji wa taasisi, idara na sekta za umma na binafsi katika utoaji wa huduma za kijamii na kiuchumi nchini,
8. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye amefuta ada kandamizi katika shule za msingi nchini - kutokana na hili usajiri wa watoto umeongezeka kutoka wastani wa asilimia 67 (2014) hadi 113 (2016),
9. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye ameweza kupunguza matumizi ya fedha za serikali katika kuadhimisha sherehe na sikukuu za kitaifa. Mfano, fedha zilizokuwa zitumike Siku ya Ukimwi zimejenga barabara za lami mkoani DAR,
10. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye kupitia Wizara ya Ardhi ameweza kusimamia vema ardhi ya wananchi maskini kutomilikiwa na mabwenyenye wachache,
11. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye ameweza kuhakikisha kwamba watanzania wa mijini na vijijini wanapata umeme wa uhakika kupitia program mbalimbali,
12. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye amewezesha nchi yetu kuwa na miundombinu ya barabara za lami - ambazo watumiaji wake wakuu ni WANACHADEMA, WANAACT, WANACUF, WANANLD (Wanapofanya maandamano yao hawapiti hewani),
13. Mhe. JOHN MAGUFULI, ni rais pekee ambaye ameweza kutoa fursa kwa wachimbaji wadogo wa madini na Machinga kuweza kutumia rasilimali zetu ili wajiongezee kipato,
Kwa ufupi MHE. JOHN POMBE MAGUFULI, kwa muda mfupi amefanya mambo makubwa, mengi na Watanzania tulio wengi wenye akili timamu lazima tuunge mkono jitihada hizo ili nchi yetu iweze kukuwa kiuchumi na kijamii.
MUNGU MBARIKI JOHN POMBE MAGUFULI,
MUNGU IBARIKI TANZANIA,
MUNGU IBARIKI AFRIKA,
MSAKILA KABENDE - MCHUMI RC OFFICE BUKOBA
Let say he did all that, Kwani analipwa Mshahara wa Nini, to stand there and look pretty? By the way it is nearly impossible!
Let say anafanya hayo yote, should we now pay him with the currency of our freedom! Pathetic!
Let say he do all that should we now let him still tax payer's money from our treasurery crime no. 1) and let him bribe the Legislatures? Crime no 2)
Wewe hakuna kitu unaniambia, If your criteria hold water, Magufuli should count down all the good things Done by Felichism Mramba, Anne Kilango, The Late DSM Commissioner, before he fired them! Did he do that? Hell no! Why then should we give Magufuli a special preferences, looking into his good dids before we judge his evil? Let me tell you this, Magufuli has done some good things for which he get paid by the way, But so Did Amin, sure there is a bucket list of good things Amin did if you wan list them, So Was Musolini, So was Qaddafi, so was Mobutu etc, And yet you can't refute them to be evil! Right?
Hakuna kitu umejenga hoja hapa List ya Aliotenda Mtu kutimiza Wajibu wake sio Tiketi ya Kutenda Uovu na Kuvunja Katiba.
Wananchi walimchagua Magufuli
1) Ailinde na Kuitetea Katiba na Akaapa hivyo Je Anailinda
2) Apambane na Rushwa na Ufisadi sio yeye Mwenyewe Kuiba hazina na Kuzitumia Fedha kutolea rushwa Kupitisha sheria kandamizi ya Kikoloni
3) Wananchi walitarajia Magufuli alinde Demokrasia sio Kuiandamain kwa Unafiki Kuserve maslahi binafsi na chama chake
4) Walimchagua Kusimamia Usawa wa Biashara sio Kuhonga Mfanyabiashara mwenye Vyombo ya habari kwa Kumpa Hekari 10,000 za arthi ili ati aweke Kiwanda cha sukari Je kwanini asimpe na Mengi, Mo, Ndesamburo, Kishimba etc? Kulikuwa na zabuni gani? Au rais anaamua Loosers na Winners?
5) Wananchi hawakumchagua Magufuli Kutumia Pesa Bila Budget na Kununua ndege Kutaka sifa, Huku Seriali haiwalipi Wazabuni Binafsi Ikiwepo Tanesco, Huku Wanashidwa Kuajiri wahitimu wa Ualimu, Huku wakishidwa kununua Madawa hata basics mahospitalini, Huku Wanafunzi wakinyimwa Mikopo
6) Magufuli Ni Fisadi In Charge Yeye Mwenyewe Kakwapua 2.7 Billion na Kuwapa Wabunge wote wa CCM rushwa ya 10 Tsh Mil@, Anakumbatia IPTL, Amewakingia LUGUMI kifua, na Ndio sababu hasa ya Kumtoa Kitwanga kwenye spot light! Amekumbatia UDA na Milango ya NYUMA ya Kulinda Maslahi ya Wenye Mashamba ya Sukari Abishe!
Kama Magufuli Ni Mwanamme Kweli? Na kama Unayomsifia Nayo ni Kweli Kama Kweli ana Maboli? Aweke mpango wa kuwa na 1) Katiba mpya 2) Tume huru ya Uchaguzi, Na kwenye Kampeni Awaambie waalimu waliokosa ajira, "Nilinunua Ndege sita"
Awaambie Wamama wanajinunulia Gloves Kujifuungua Nilinunua Ndege sita, Awaambie Wanafunzi 7000, aliowaita Villazza, awaambie Wazazi, Ndugu, Mashekhe, Wachungaji wao kuwa aliwafukuza shule kununua ndege sita Ambazo kwa mwendo wa Uchumi huu zitakuwa nyingi zake hazifanyi kazi!
I challenge Magufuli Kama yeye Ni Mwanaume kama alivyojigamba Pemba, Aruhusu Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, Na hana jinsi Atake asitake Lazima aruhusu hayo kama anataka agombee 2020 asidhani atachekewa na Yeyote. Kama ni Mwanaume afanye hayo. Am sure Mtu mwingine wa CCM anaweza akushinda, Lakini Katika Mazingira hayo Magufuli hawezi shinda, hata Agombee na Ng'ombe sijui wengine Mimi Ningempigia Ng'ombe kura!