- Thread starter
- #21
Watalipaje kodi wakati mkataba wao umesitishwa na mkurugenzi halafu wahajampa notice ya kuondoka.Unaongea nini wewe Raisi amesema kila kitu lazima aulizwe yeye... Sasa wewe kwako ni shida akipewa maagizo na wana nchi? Au unafikiri Kazi yake ni kuvaa suti tu? Anywaw pale coco ni pa ovyo sana bidhaa bei juu risiti hamna so majizi tu nilienda kununua clips naambiwa huku Jero wakati before kabla ya blah blah ilikuwa buku nimenunua sana ila kwa sasa basi na paki ni pesa tena bora waende hao hao Wa Manzese wenye uwezo
Ni bora kama hawamtaki wamfukuze ama waurejee mkataba wao au wampe mkataba mwingine tu