comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Hivi kweli kabisa ntu kama Seleli unategemea ataleta maendeleo ya kweli ndani ya TANAPA? Achana na huyo Waitara ambaye hana fani yoyote ya Utalii wala mbuga za wanyama, bodi members wengi wao wameteuliwa kisiasa ili
wapate kijiwe cha kula
Wakila tu tutawasemea kwa baba mkubwa