Rais Magufuli hawezi tengeneza mazingira ya kujiangamiza mwenyewe!

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
Miaka kadhaa ijayo JPM atakuwa kwenye nafasi aliyopo sasa JMK!Wakati huo ukifika watakuwa na common grounds wakati wakiangalia mtu mwingine akiongoza nchi!Watafanana hasa kwa hili:

Wote wamewahi kuwa mawaziri na baadaye Marais!Kila mmoja amepata kuhusishwa na ufisadi akiwa waziri,JK katuhumiwa suala la madini na JPM katuhumiwa kashfa ya nyumba za serikali!

Iwapo JPM ataruhusu JK ahojiwe sakata la madini,atakuwa amejitengenezea njia ya yeye kuja kuhojiwa atakaposhika nchi mtu mwingine kwa kashfa ambayo ilitokea chini yake akiwa waziri!

Nani anaweza tengeneza silaha ya kumuangamiza mwenyewe?
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
14,082
2,000
Shida ni Africa kuwafanya wakuu wa nchi miunguwatu. Jambo hili lilitakiwa kutiwa nguvu na chama na pia bunge bila kuangalia uso wa mtu bali taifa.

Africa wakuu wa nchi ni wafalme na watawala si viongozi wa kuonyesha njia.

Unapotafuta ubadhirifu kwa mawaziri, makamishina na wanasheria wakuu huku ukiacha viongozi wanaoidhinisha ufisadi huo ni uwendawazimu
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,412
2,000
Mkitaka makubwa zaidi hamieni Ulaya. Afrika ni nzee kuliko nyinyi na yaliyopo Afrika hayakuanza leo wala jana. Yawezekana huijuhi historia ya bara lao kitu ambacho hata hao mabwana zenu wazungu wanakifahamu fika. Subirini Afrika yenu mnayoitaka nyinyi mazalia ya wazungu ndo mtaweza kufikiri Afrika yenu kwa kutumia picha za wazungu. Mnakaa mnafikiri eti ipo siku Afrika hii inakuja kuwa kama ulaya soon, jiandaeni kwa vita kwanza na muwaandae wa kufia vitani kwanza (make lazima wafe) ndo mtaweza walau kuiwazia Afrika kizungu
 
Pole sana,usituletee stress zako za kukwama kimaisha!
 
Rutorial k

JF-Expert Member
Jun 8, 2014
927
1,000
Mkitaka makubwa zaidi hamieni Ulaya. Afrika ni nzee kuliko nyinyi na yaliyopo Afrika hayakuanza leo wala jana. Yawezekana huijuhi historia ya bara lao kitu ambacho hata hao mabwana zenu wazungu wanakifahamu fika. Subirini Afrika yenu mnayoitaka nyinyi mazalia ya wazungu ndo mtaweza kufikiri Afrika yenu kwa kutumia picha za wazungu. Mnakaa mnafikiri eti ipo siku Afrika hii inakuja kuwa kama ulaya soon, jiandaeni kwa vita kwanza na muwaandae wa kufia vitani kwanza (make lazima wafe) ndo mtaweza walau kuiwazia Afrika kizungu
hutaeleweka kirahisi..democrasia ilioko ulaya ilipiganiwa mno na watu walikufa sana kwa sababu hyo..miaka ya 1848 ulaya nzima ilikuwa na uwanja wa vita kwa ajili ya democrasia...hakuna mtawala atakubali kujijengea mazingira ya kuondolewa madarakan never..hata upinzani ukishka madaraka watajilinda tu...solution ni kuidai haki ilipo...
 
kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
4,132
2,000
Mkitaka makubwa zaidi hamieni Ulaya. Afrika ni nzee kuliko nyinyi na yaliyopo Afrika hayakuanza leo wala jana. Yawezekana huijuhi historia ya bara lao kitu ambacho hata hao mabwana zenu wazungu wanakifahamu fika. Subirini Afrika yenu mnayoitaka nyinyi mazalia ya wazungu ndo mtaweza kufikiri Afrika yenu kwa kutumia picha za wazungu. Mnakaa mnafikiri eti ipo siku Afrika hii inakuja kuwa kama ulaya soon, jiandaeni kwa vita kwanza na muwaandae wa kufia vitani kwanza (make lazima wafe) ndo mtaweza walau kuiwazia Afrika kizungu
inaonesha hupendi uafrika unatamani uzungu Ila hunanamna...jipende asee
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,412
2,000
Nenda FB kafanye majadiliano huko!
Waziri kivuli mwenye IQ ya hivi na kualter mijadara utawezaje kuongoza wizara, ama huelewi ukubwa wa hiyo username yako?

Siku nikikosa kabisa shamba ntakuja uniazime kichwa chako nilime migomba yangu na kahawa make kuna mashamba mengine yalifanywa vichwa kwa bahati mbaya
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
Waziri kivuli mwenye IQ ya hivi na kualter mijadara utawezaje kuongoza wizara, ama huelewi ukubwa wa hiyo username yako?

Siku nikikosa kabisa shamba ntakuja uniazime kichwa chako nilime migomba yangu na kahawa make kuna mashamba mengine yalifanywa vichwa kwa bahati mbaya
I am too smart to get down to your level and argue,u r just narrow minded!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom