Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Miaka kadhaa ijayo JPM atakuwa kwenye nafasi aliyopo sasa JMK!Wakati huo ukifika watakuwa na common grounds wakati wakiangalia mtu mwingine akiongoza nchi!Watafanana hasa kwa hili:
Wote wamewahi kuwa mawaziri na baadaye Marais!Kila mmoja amepata kuhusishwa na ufisadi akiwa waziri,JK katuhumiwa suala la madini na JPM katuhumiwa kashfa ya nyumba za serikali!
Iwapo JPM ataruhusu JK ahojiwe sakata la madini,atakuwa amejitengenezea njia ya yeye kuja kuhojiwa atakaposhika nchi mtu mwingine kwa kashfa ambayo ilitokea chini yake akiwa waziri!
Nani anaweza tengeneza silaha ya kumuangamiza mwenyewe?