Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Tunasubiri lakini kwa hofu
Kijana....kuonya wahuni ndio kuleta chuki?Ni lazima akemee wahuni wote!Hana cha kuongea zaidi ya kuendelea kutema sumu tu. Ukipandikiza chuki hivi kweli unategemea kuvuna upendo?
Ungekuta ile fake ID yangu haijapigwa ban, ningesema jambo.
Wacha niwe msomaji tu leo




si ufungue nyingine mkuu?Leo kuna mtu atasifiwa kuwa ni kigoli..


baada ya aliyesifiwa 'handsome'?Tupia picha hapa sasa acha porojo ru!mkutano hauna watu kabisaaaa
Mkuu vipi? mbona nikiku PM hujibu?Ungekuta ile fake ID yangu haijapigwa ban, ningesema jambo.
Wacha niwe msomaji tu leo
Nafuatilia hapa kuangalia kitakachojiri.sijuwi atakuja na lipi alasiri ya leo Mkuu huyu wa Tanzania.
ndio maana akaumbwa!Magufuli ni chaguo la Mungu.
Wanafwatiliaaa kama wewe nyumbani hujui leo wendmkutano hauna watu kabisaaaa