Rais Magufuli hajavunja Katiba kumteua CAG mpya, tatizo ni Kiingereza kilichotumika kwenye Katiba

Wewe ni nani ?
 
Mwenye katiba tafadhali ili niipitie kabla ya kushusha hoja zangu hapa
 
GUSSIE,
Nikuulize swali jepesi tu, nini tofauti kati ya maneno haya ya kiingereza MAY na SHALL?

Ukinijibu hapo ndipo tutajua kama Rais amevunja Katiba au la.
Nini maana ya neno "eligible" unachotaka kusema neno "msukuma" ukiondoa neno msu litabaki na maana ileile, utakuwa hamnazo.
 
Nimecheka sana watu wanataka neno kwa ufupi yaani "shall" ila eligible hapana
Nini maana ya neno "eligible" unachotaka kusema neno "msukuma" ukiondoa neno msu litabaki na maana ileile, utakuwa hamnazo.
""
 
Hizo shall or may mtajuana wenyewe am not mwanasheria and politician my qn is " Kama nina mamlaka ya Kuteua nna Mamlaka ya Kutengua pia" Does this statement apply kwenye cheo cha CAG?
 
Madhara ya walimu wale wa UPE enzi hizo yaani walimu wa fasta fasta waliomaliza tu darasa la saba na kuamuliwa kufundisha shule za msingi ndio hao wameleta shida hii kwenye neno "shall"

Watu waliaminishwa shall maana yake ni lazima kufanyika, Hawa kuambiwa shall nyuma ya baadhi ya maneno ina tafsiri yake.
 
Wahitimu wa vyuo watalazimika ( hili halina mjadala) endapo nafasi ya ajira itakuwepo (iwapo IPO nafasi na umeitwa hauwezi kukataa) hili pia halina mjadala. Sijui ubovu wa lugha uko wapi! Mfano wako wa wahitimu hauko sahihi.
Naomba ukubali kuwa neno SHALL stand for MUST kwenye ajira hiyo.
 
Mkuu naona umepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la nyumb.
 
sheria katika taifa la waaswahili iandikwe kwa kiingereza kwanini? Kama siyo utumwa
 
Kiongozi wadau walipokuwa wanadai katika mpya vitu vidogo vidogo kama hivi ndio tatizo na tukiendelea mchekea chekea uyu mzee anapotupeleka siyo mungu namwambia tukubali lolote liwe kwa kizazi chetu cha baaadae

Tumeona nchi nyingi zikidai haki zao je watu wamepotea wote tukiondoa sodoma na gomora au wakati gharika la mvua kipindi cha nuhu hakuna so tusimchekee mzee na genge lake wanapotupeleka siyo

Angalia uhuni unaofanyika katika chaguzi za serikali za mtaa nini maana yake nini hii yani mtendaji kata ambaye ni mwajiriwa wa serikalini anafunga ofisi wiki nzima, mkurugenzi yupo anatizama tu kama si kutudharau watanzania ni nini hii maana yake

Hizi zarau tena kubwa sana historian inatuambia uko chato mzee ajawahi pita kwa kura yeye alikuwaga anapiga bila kupigwa na tugemee mwakati kuona vitukao zaidi ya hapa endapo tutaendelea mchekea mchekea
 
Mkuu naona umepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la nyumb.
Weka kiingereza chako hapa badala ya kuunga mkono juhudi za mwenzako.
Siku zote kwenye mkataba wa kisheria neno SHALL linasimama kuwa MUST na si vinginevyo.
 
Hili la kuteuliwa haraka haraka kwa kigezo cha muda wake kwisha ni dalili tosha kuwa "walikuwa wanaomba" siku zifike aondoke! Mbona hakufanya hivyo kwa Tume ya Haki za Binadamu na utawala bora?.
Njama za kuficha tr.1.5 na matibabu ya ndugai ni mwiba mchungu kwao.
 
Mimi kwenye ubishi huu, namsubiria Lissu atanipa majibu sahihi kwa sababu hajawahi kuniangusha tangu makinikia hadi leo, nafikiri ndiye mwanasheria number 1 nchini kwetu, yaani yupo vizuri mno kwenye tasnia hii - penye ukweli basi tuusemage.
 
Upuuzi tu.Nukuu vifungu vya sheria sio unaleta stori pori ulizomezeshwa.

Kati ya awamu zote zilizopita hii ndio itakuwa na ufisadi mkubwa ambao hujawahi kutokea.

Viongozi wamejivisha umungu mtu bawataki kukosolewa hata kwenye vitu vya ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…