Tatizo la ajira linatokana na sera mbovu ambayo imekosa uwiano sahihi wa raslimali asili zilizopo na idadi ya watu.Yaani raslimali zilizopo nchini hazitumiki vya kutosha angalau zingetumika kufikia 50% zingeweza pungunza au maliza tatizo la ajira nchini.
Pia utokana na sera za utawala uliopo mfano kama unawachukia matajiri na watu waliofanikiwa huku ukikazania maendeleo ya vitu badala ya watu lzm tatizo la ajira liwe kubwa nchini.Matajiri ndio uajiri masikini nchini tajiri mmoja nyuma yake wako masikini 200 wanamtegemea,sera zinapoboreshwa ili tajiri azidi tajirika upelekea kupunguza tatizo la ajira.Tajiri akiwa nafuu masikini amekufa kabisa.