Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Ulikua unaishi nae sehemu moja?Huyu jamaa acha tu naukubali ule msemo maisha haya formula ni kweli enzi hizo tunamuuzia samaki yeye kama mchuuzi alikuwa mpole sana ila mkali kwenye biashara alikuwa hataki masihara kabisa
Jamaa hajawahi kuwa na sura ya ujana aisee, yeye ni utoto halafu jumped to adult hood!
Matron hebu tulia kidogo!ndevu kama osama kha
Hatari sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa hajawahi kuwa na sura ya ujana aisee, yeye ni utoto halafu jumped to adult hood!
Picha itanifaa sana kumtisha mtoto nyumbani. Kapo kamoja halafu kabishi sana kula sasa hii nitakuwa namwambia "unamwona huyu nyonya damu anakuja kama hauli fasta"😀😛
Alikuwa hapati muda wa kunyoa inaonyesshandevu kama osama kha
Picha itanifaa sana kumtisha mtoto nyumbani. Kapo kamoja halafu kabishi sana kula sasa hii nitakuwa namwambia "unamwona huyu nyonya damu anakuja kama hauli fasta"😀😛