Rais magufuli,bajeti yako haiakisi ahadi yako ya kushusha bei ya vifaa vya ujenzi

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Wakati wa kampeni rais magufuli alisema kwamba yeye hataondoa Nyumba za nyasi kwa wakati mmoja bali atapunguza bei ya vifaa vya ujenzi kama simenti na bati

Katika bajeti ya waziri wa fedha hatujaona hata sehemu moja panaposomeka kwamba serikali imeshusha au kuondoa tozo katika bati au simenti.Kama mtanzania naona tumepigwa changa la macho.

Kwa hali hiyo,ndani ya miaka mitano ya magufuli Tanzania itaendelea kuwa na Nyumba za nyasi.

Mara hii ameanza kusahau ahadi zake?
 
Mkuu changa la macho umelishtukia leo.......pole sana, wengine katika siku 100 tu walishajua tu mwelekeo.......
 
Yaani serikali imeshindwa kabla ya kuanza.....sioni dalili za mabadiliko,
Serikali imekuwa jipu
 
Back
Top Bottom