Rais Magufuli awavutia Waganda

Jikomboeni kwanza na utumwa wa akili, hakuna atayewakomboa bali kila mtu atajikomboa kwa nafsi yake. Katika mataifa yote ya dunia ya kwanza (yaliyoendelea) ni lipi lilipiga hatua kwa kutumia lugha ya kigeni, ujerumani, ufaransa, Italy, urusi, uholanzi, Sweden, wachina, wakorea, wajapan? Lipi taifa niambieni
NB:ni rahisi sana kumfundisha mtu kwa kutumia lugha ya mama au anayoielewa kwa ufasaha anaelewa na kitu kinadumu kwenye ubongo wake kwa mda mrefu kuliko kamkalilisha kwa lugha za kigeni uelewa wake unashuka na hata kama anaelewa kitu hicho hakitadumu kwa mda mrefu
 
tumpe mheshimiwa rais muda ili tuone atakavyo tuongoza kufikia lengo la MAENDELEO katika Nyanja mbali mbali.
In the end it is deliverables which counts
 
Mnajitahidi kupamba kwa kutumia nguvu, sidhani kama yaliyotokea yote pale kushangiliwa ndio iwe story kubwa.
Kama hupendi kula sumu ya panya; ebho!
 
Wenye wivu wajinyonge, majipu mtalialia sana mwaka huu!
 
Tawile!!
 
tumpe mheshimiwa rais muda ili tuone atakavyo tuongoza kufikia lengo la MAENDELEO katika Nyanja mbali mbali.
In the end it is deliverables which counts
Kama ndo hivyo basi subiri maendeleo baada ya miaka 500 maana bado ana issue ya sukari.
 
Hongera watu Wa Uganda kwa kutambua mchango wa Rais Magufuli katika kuleta mabadiliko Africa mashariki.

Ndio maana hata mseveni ametangaza vita zidi ya ufisadi
 
Ndio wanashangiliwa kwa kukuza uchumi wa nchi zao, shida iko wapi? Kwani nimesema hajashangiliwa? Umesoma shule za katazilizokosa walimu nini? hasira ya kutojua maana peleka kwenu.
Tatizo la kuwa baby ndio hilo..... Hutaki kukubali kama lowasa alishindwa urais na rais ni magufuli now
 
Tatizo la kuwa baby ndio hilo..... Hutaki kukubali kama lowasa alishindwa urais na rais ni magufuli now
Unazidi kujiaibisha, kudhihirisha upeo wako mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo, LOWASA anatoka wapi hapa? Think big acha kukariri maneno ya mateja au umezoea kupakatw ukisikia baby kuna sehemu inakutekenya? maana umakariri sana hilo neno.
 
Mnajitahidi kupamba kwa kutumia nguvu, sidhani kama yaliyotokea yote pale kushangiliwa ndio iwe story kubwa.

Vipi angalikuwa Mamvi, unadhani wangalizungusha (waganda) mikono?

Acha roho mbaya
 
Unazidi kujiaibisha, kudhihirisha upeo wako mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo, LOWASA anatoka wapi hapa? Think big acha kukariri maneno ya mateja au umezoea kupakatw ukisikia baby kuna sehemu inakutekenya? maana umakariri sana hilo neno.
Mnambeza sana rais Magufuli ndio maana mnaitwa mababy pale bungeni
 
Mugabe, Al Bashir, Nkurunzinza, Kagame, Kabila ......Wanafanana sana. JPM hafanani nao kabsia hawa jamaa. Wale wenzangu na mimi ambao mmeshaanza kushauri Rais wetu naye aongeze muda baadaye, acheni kabisa hiyo maneno. JPM apige kazi na atoke madarakani muda wake utakapofika na wakati wote tukiwa tunamhitaji/tukimlilia. Hiyo ndiyo legacy inayotakiwa kuachwa na marais wa kiafrika.
 
Uliangalia wapi wewe!!?
Wacha unafiki
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…