habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Atawaagiza polisi wawakamate wote wanotumia pesa za jumuiya vibayaHapa mzee hata akorome maneno yake hayana mashiko kabisa.
Hii ni jumuiya ya kikanda na yeye hata awe mwenyekiti hana mamlaka ya kuamua chochote.
Ni lazima mzee aelewe mipaka yake kabla ya kuongea au kufanya kitu kinachoweza kuwa fedheha kwa nchi.
No nilikua najiuliza tu kukoromea kama watumishi wa Umma wa Tanzania, kule ni EAC, huwez kuwapangia wakubwa kula good time,wewe kama nchi yako unabana matumiz, wengine hawawezi!Sijakuelewa mkuu
Yeye ameshauri mkuuHapa mzee hata akorome maneno yake hayana mashiko kabisa.
Hii ni jumuiya ya kikanda na yeye hata awe mwenyekiti hana mamlaka ya kuamua chochote.
Ni lazima mzee aelewe mipaka yake kabla ya kuongea au kufanya kitu kinachoweza kuwa fedheha kwa nchi.
Hizo hotel hata usalama upo juu pia. Kuna vitu vingine mm huwa simuungi mkono magu. Sio lazima uwe mshamba ili uokoe hela. Unaweza ukawa unaokoa hela alafu unapoteza wakati. Ajifunze kitu kinaitwa kwenda na wakati. Asilete ukoloni kwenye kila jambo. Ni vyema akajua anawaongoza watuRais Magufuli na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki amewakoromea Sekretariati ya Afrika ya Mashariki kwa ufisadi wanaoufanya ikiwemo kuwagharamia marais walioalikwa kulala hotel za gharama kubwa ambapo rais mmoja kwa usuiku mmoja analipiwa TZS 3,000,000/-. Yeye binafsi (Rais Magufuli) hulala katika nyumba ya serikali isiyogharimu kiasi kikubwa kama hicho.
Pamoja na hayo, ameonya matumizi makubwa yasiyo ya lazima/msingi ili kuokoa fedha nyingi zinazochangwa na nchi washirika wa jumuiya.
Hapa chini nimebahatika kupata namna gharama zilivyo juu na kuigharimu Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
View attachment 326987 View attachment 326989 View attachment 326991
Maigizo peleka kwa wazungusha mikono
Uliisoma namba mpaka ukachanganyikiwa sumu imepungua mwilini umeaanza tena kuja.Propaganda Machinery ya Ikulu ya Tanzania haijawahi kuwa inactive.Ndio machinery efficient kuliko nyingine yoyote nchini.
Kile kibanda laana chako mailimoja umekimaliza? Au hilo bakuli/mdomo mlango wa Lana halikulipi siku hizi?Wale watalamu wa kutakatisha pesa miaka hii ya jpm itakula kwao anapiga kotekote safi sana magufuli.
Mchezo wa karata tatu wa Magufuli,kama yuko serious kama asemavyo si aanze na IPTL na ESCROW .Nyoka wa makengeza na mbunge wa pesa ya mboga weka ndani.SETHI na Dalali Muhongo nao ndani waziri wa Utawala bora teua KAFULILA na rudisha gazeti MAWIO hapa ndiyo utakuwa mpenzi wa Mungu unayemtaja bila kumweshimu.Maana Mungu wetu ni Mungu wa HAKI asigeweza kuruhusu changuzi za kihuni za Kilombero na Zanzibar
Kama Mh Magufuli hajayazugumza haya angekuwa Mnafiki.Hao maraisi wote wanajuwa msimamo wake.Hizo hotel hata usalama upo juu pia. Kuna vitu vingine mm huwa simuungi mkono magu. Sio lazima uwe mshamba ili uokoe hela. Unaweza ukawa unaokoa hela alafu unapoteza wakati. Ajifunze kitu kinaitwa kwenda na wakati. Asilete ukoloni kwenye kila jambo. Ni vyema akajua anawaongoza watu
Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki amewakoromea Sekretariati ya Afrika ya Mashariki kwa ufisadi wanaoufanya ikiwemo kuwagharamia marais walioalikwa kulala hotel za gharama kubwa ambapo rais mmoja kwa usuiku mmoja analipiwa TZS 3,000,000/-. Yeye binafsi (Rais Magufuli) hulala katika nyumba ya serikali isiyogharimu kiasi kikubwa kama hicho.
Pamoja na hayo, ameonya matumizi makubwa yasiyo ya lazima/msingi ili kuokoa fedha nyingi zinazochangwa na nchi washirika wa jumuiya.
Hapa chini nimebahatika kupata namna gharama zilivyo juu na kuigharimu Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
View attachment 326987 View attachment 326989 View attachment 326991