Maigizo peleka kwa wazungusha mikonoSerekali ya Maigizo
hakutia mguu,alimtuma makamu wakeSipati Picha kwenye hicho kikao nkurunzinza,alivyo kutana na Museveni
naskia jengo la moleni kwan ukuskia koz maalumu?kwa lugha gani maana hadi kufika huko ni shida.
swissme
UKAWANIIIIISerekali ya Maigizo
Propaganda Machinery ya Ikulu ya Tanzania haijawahi kuwa inactive.Ndio machinery efficient kuliko nyingine yoyote nchini.Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki amewakoromea Sekretariati ya Afrika ya Mashariki kwa ufisadi wanaoufanya ikiwemo kuwagharamia marais walioalikwa kulala hotel za gharama kubwa ambapo rais mmoja kwa usuiku mmoja analipiwa TZS 3,000,000/-. Yeye binafsi (Rais Magufuli) hulala katika nyumba ya serikali isiyogharimu kiasi kikubwa kama hicho.
Pamoja na hayo, ameonya matumizi makubwa yasiyo ya lazima/msingi ili kuokoa fedha nyingi zinazochangwa na nchi washirika wa jumuiya.
Hapa chini nimebahatika kupata namna gharama zilivyo juu na kuigharimu Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
View attachment 326987 View attachment 326989 View attachment 326991
Anahitaji kusaidiwa sana kuzifahamu protokali na diplomasia ya kimataifa.Hakuna dhambi mbaya kama unafiki bora magufuli katoa la moyoni
Inamaana hao wakuu wa nnchi wangelala guest ? Ya shs 15000 per night . Ni lazima wamebook presidential suit ambayo inawekwa kila kitu vinywaji vya aina yote kwa hiyo iyo bei ni sawa kabisa . Mtu anatumia Mara moja kwa mwaka tu jaman .
Sijakuelewa mkuuMmmmh hii sasa kali. Muundo wa Majibu ya hapa kwetu unataka kwenda hadi kwa viongozi wa mataifa mengine? Kazi ipo!
.