Rais Magufuli awaapisha Mabalozi wateule Kipilimba, Bana, Mbennah na Milanzi

Na mafisadi hayo yalivyorudi CCM yakapokelewa na mwenyekiti wao huku yasifiwa ni watu safi kabisa na wazalendo kwa nchi hii.
Kapumzike Mwamba Kapilimba

Kukubali kuondoka BOT kwenda Mtaa Ghana kwa maslah ya Taifa haikuwa jambo dogo

ulinusuru Taifa 2015 dhidi ya Mafisadi

dodge
 
Kilichonivutia leo ni hiki....
-Mzee Meko amesema amehamia Dodoma, lakini anaishi Dar na leo amewaapisha mabalozi Dar. Kweli Dar ni kama maji....!!!

-Mabalozi wengi walioapishwa ni wazee wa umri wa wastaafu, ni vyuma chakavu. Sasa wale matahira wa UVCCM watakumbukwa lini!

-Dr.Benson Bana leo naye kakumbukwa, yule dingi anajua kuropoka tu, lakini anachoropoka hakina connection na ubongo wake. Nafasi ya ubalozi huenda ikampa nafasi ya kujifunza kitu kipya!

-Sasa rasmi Kapilimba anaanza kutumikia adhabu yake ya kifungo cha nje katika nchi ya ugenini.
 
Kwa Hili Dk.Kipilimba anastahili nishani.Nchi ingekuwa mikononi mwa mwizi kibaka Lowasa na genge lake la wezi
Kibaka akiombwa Kurudi CCM na mwenyekiti wa CCM.
Screenshot_2020-01-14-14-06-25-1.jpeg

dodge
 
Bora liende
Wangempeleka kenya, South Africa au Marekani akaibe technology na kujifunza

Kwanini wote tulitawaliwa wote na wenzetu wametuacha mbali ? Au ujasusi maana yake nini?

Tunatakiwa kuinvest sana kwenye ujasusi wa kiuchumi. sio utekaji! Nchi ya kijinga sana mtu kama Kapilimba aliyebobea kwenye IT anatumika kuteka watu badala ya kwenda kuiba technolojia angalau ya kutengeneza hata wembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You've a point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenichekesha Hadi basi kichwani naona uko mweupeeeee!!!!!

Kwa hiyo kazi ya balozi Ni wizi?
Unacheka nini hpo?? We jamaa una kauzuzu flani hvi! balozi anaweza kutengeneza task force itayochukua/kuiba teknolojia hko ugenini... Cha ajabu kitu gani? Balozi mbalimbali hupeleka raia wake huko walipo ili wakachukue vitu flani vya manufaa hasa teknolojia kwauwazi ama kiusiri!!
 
Kwa Hili Dk.Kipilimba anastahili nishani.Nchi ingekuwa mikononi mwa mwizi kibaka Lowasa na genge lake la wezi
Huna akili wewe! Kipilimba alipelekwa NEC na Kikwete sio Magufuli, unakumbuka?!

Baada ya Magufuli kushinda huyu Kipilimba na Magu wakamgeuka JK na kuanza kumuita mwizi na watu wake, wakatumbua weee ila matokeo ni sifuri uchumi ndio kwanza umeporomoka badala ya kupanda.

Ushujaa wake upo wapi? Kusaliti ulokole wake na kuanza kupoteza watu wasio na hatia?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom