Jamani wakuu nimesoma mahali eti tenda ya kujenga Ikulu, shule na airport Chato amepewa mpwa wa Magufuli. Yaani mtoto wa dada yake. Kuna mwingine naye amesoma huko IG? Yana ukweli? Na km ni hivyo uadilifu vipi?
Ukiwa Balozi Brazil, huwezi kushiriki siasa za hapa nyumbani. Ndio amemmaliza kwenye siasa za CCM. Na mafungu hapeleki kwenye ubalozi wa Tanzania Brazil. Upo hapo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.