Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya.. Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo); Baada ya kumfukuza yule Mgogo aliyesema Tanzania kuna Zika na waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi...
ITV wametangaza sasa hivi. Dr Mwele Malecela ametenguliwa uteuzi baada ya kutangaza kuwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika. Waziri wa afya amekanusha hakuna zika, na ikafuata habari kuwa uteuzi umetenguliwa.