Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa na kuteua mpya

Kamtoa DR. kaweka KADA, nchi hii kuwa na maendeleo tusubiri sana tu.
Hata lipumba ni dakatari (wa falsafa), kuna maendeleo yoyote unayasubiri kwa mtu kama lipumba na udaktari wake? Tafakari.
 
Mkuu,nina mdogo wangu yupo katika Halmashauri kwa miaka 16,amepitia halmashauri 3 na kuwa mkuu wa idara halmashauri 2,lakini kwa sasa ile ari na morali ya utendaji imekufa kabisa,anafanya "bora liende" baada ya kuletewa DED ambaye ni mdogo na "kiazi" katika kila kitu,yeye sasa ndio anaanza kumpa tuition ya majukumu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu mzee inabidi wamshauri, morali na kujituma kutakuwa kunakufa sasa huko makao makuu ya halmashauri. Nafasi za kisiasa zipo nyingi sana ; DC's nchi yetu kuna nafasi kama mia na sabini(170), RC's mikoa ipo 26, mabalozi nafasi kama mia mbili(200) etc etc Huko ndio sehemu yao wanasiasa,wanajeshi na anaotaka kuwalipa fadhila.
 
Kwa elimu ndogo tu ya uraia niliyo nayo uteuzi wa wakurugenzi wa HALMASHAURI ZA Wilaya hufanywa na Waziri wa TAMISEMI Japo yaweza kua ni wateule wa Rais na ule wa wakurugenzi wa Majiji hufanywa na Rais mwenyewe moja kwa moja
Inanishangaza sana awamu hii 5 kichwa kimoja kufanya yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni chadema bt umesahau kuwa waziri wa TAMISEMI ni rais kutokana na sasa hivi TAMISEMI kuwa chini ya ofisi ya rais na ndio maana kina JAFO na WAITARA wale wote ni manaibu waziri hivyo basi WAZIRI WA TAMISEMI ni RAIS mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa elimu ndogo tu ya uraia niliyo nayo uteuzi wa wakurugenzi wa HALMASHAURI ZA Wilaya hufanywa na Waziri wa TAMISEMI Japo yaweza kua ni wateule wa Rais na ule wa wakurugenzi wa Majiji hufanywa na Rais mwenyewe moja kwa moja
Inanishangaza sana awamu hii 5 kichwa kimoja kufanya yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata mi nashangaa yaani nafasi za wakurugenzi ma das zimekuwa political appointment au, manake sielewi kabisa .
Taratibu zinaelekeza kwamba mkurugenz anapoondolewa kwenye Cheo anatakiwa arudishwe kwenye Cheo chake Cha zamani na awekwe katika ngazi ya juu ( principal) sasa hawa makada waliotokea from nowhere ikitokea wakeondolewa kwenye hivyo vyeo wanapelekwa wapi?
 
Back
Top Bottom