Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa na kuteua mpya

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,480
2,000
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Dkt. Oscar Albano Mbyuzi

> Rais John Magufuli amemteua Jimson Mhagama kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma

IMG-20190409-WA0029.jpg
 

Bakari Chijumba

Verified Member
Mar 22, 2019
46
125
Rais Magufuli leo 09 April 2019 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa,Mkoani Ruvuma Dr.Oscar Albano Mbyuzi na amemteua Bwana Jimson Mhagama kushika nafasi hiyo,Uteuzi wake unaanza Leo ....Taarifa ya Gerson Msigwa imethibitsha.
IMG_20190409_114302.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom