Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa na kuteua mpya

Kwa elimu ndogo tu ya uraia niliyo nayo uteuzi wa wakurugenzi wa HALMASHAURI ZA Wilaya hufanywa na Waziri wa TAMISEMI Japo yaweza kua ni wateule wa Rais na ule wa wakurugenzi wa Majiji hufanywa na Rais mwenyewe moja kwa moja
Inanishangaza sana awamu hii 5 kichwa kimoja kufanya yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanichekesha nipo na mkuu wangu wa idara hapa nimemuonesha post yako anatumbua macho tu inaonekana kuna ukwel fulan ambao hawa wakuu wanaujua ila ndio hvyo hawana pakusemea

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli yaani

Nafasi za wanasiasa ni ukuu wa wilaya, ukuu wa mikoa huko na ubalozi na sio U'DED'

Mara kumi ukampa U'DED' hata headmaster ila sio kada

Wakuu wa idara wanatakiwa wawe na room ya promotions, unaweka makada then heads wa dept za halmashauri wapandie wapi?
 
Kwa elimu ndogo tu ya uraia niliyo nayo uteuzi wa wakurugenzi wa HALMASHAURI ZA Wilaya hufanywa na Waziri wa TAMISEMI Japo yaweza kua ni wateule wa Rais na ule wa wakurugenzi wa Majiji hufanywa na Rais mwenyewe moja kwa moja
Inanishangaza sana awamu hii 5 kichwa kimoja kufanya yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni waziri Huyo au hujui!
 
Kweli yaani

Nafasi za wanasiasa ni ukuu wa wilaya, ukuu wa mikoa huko na ubalozi na sio U'DED'

Mara kumi ukampa U'DED' hata headmaster ila sio kada

Wakuu wa idara wanatakiwa wawe na room ya promotions, unaweka makada then heads wa dept za halmashauri wapandie wapi?
Mkuu,nina mdogo wangu yupo katika Halmashauri kwa miaka 16,amepitia halmashauri 3 na kuwa mkuu wa idara halmashauri 2,lakini kwa sasa ile ari na morali ya utendaji imekufa kabisa,anafanya "bora liende" baada ya kuletewa DED ambaye ni mdogo na "kiazi" katika kila kitu,yeye sasa ndio anaanza kumpa tuition ya majukumu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teua. Tengua. Teua. Tengua. Teua...
IMG_20190409_122803.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom