Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Kama Serikali imeamua kuwafukuza watumishi wa umma wote wenye vyeti fake, itambue kuwa nao ni binadamu walitumia damu kufanya kazi. Ni haki yao kupewa viinua mgongo vyao.
Hii ni nchi yetu sote. Tumelelewa na tamaduni za kupendana na kusaidiana pale watanzania wenzetu wanapokuwa na shida.
Pesa za kulipa mafao ya hawa wafanyakazi zipo kwenye budget toka day one wameajiriwa. Na hizi pesa ni kodi zetu sisi watanzania na wala hazitoki kwenye mfuko wa magufuli wala nani.
Walipe pesa sao waende. Mbona wengine mmepata uongozi kwa matokeo fake na hatusemi!