HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Sifa kubwa za Rais Mgufuli ni decisive lakini hili la utata wa majina pamoja na yeti vya huyu RC wa Dar sasa linatia kichefu chefu na inampakazia mpaka Rais mwenyewe ambaye ndiye aliyemteua
Nchi ina wananchi zaidi ya milioni 50 hivi kweli hakuna mtu ambaye anaweza kuteuliwa na rais akakaimu hiyo nafasi wakati huyu mtu anayetuhumiwa kutumia vyeti vya mtu mwingine na kujiita jina la Paul Makonda akakaa pembeni ili uchunguzi ufanyike?
This reminds me of ile episode ya aliyekuwa waziri wa Mambo ya ndani aliyekuwa na tuhuma za ulevi na rushwa Ndugu Charles Kitwanga.
Kama uliweza kufanya kwa wengine inashindikana vipi kwa huyu?