Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 314
Anataka kushauri NEC wangechapisha form moja tuSi na kwenu mna uchaguzi, mpeleke apite bila kupingwa
Yesu.Ila verified users mnaongoza kwa kujikomba sana!...Ila awe bora lazima awashinde wagombea wengine.
Eti hana mpinzani Tanzania, Afrika na Dunia....amekuwa Mungu?
Mzee anachanganyikiwa snaKama ulikula hela zake na kumwambia kuwa upinzani umekufa, bora urudishe hizo hela maana itakuwa tatizo kubwa. Alishazoea kupita bila kupingwa, hebu apambane apate kura atakapopata na wengine wapate watakazopata.
Watu wapunguze mapambio na wawe na uhalisia....hata kama mtu anampenda Rais kama mimi wasisahahu yule ni Mwanadamu na pande zake mbili....wamsaidie azidi kuimarika na siyo kupumbaza eti ameshafikia kilele cha ukamilifu.Yesuuuuu
HAPO NDIO MWISHO WA AKILI YAKEHuwezi kuamini huyu jamaa ana mke na watoto 😳
Jifunze kuheshimu katiba njoo nikupe elimi ya uraia ili ujinga ukutokeUkweli wa Mambo Magufuli anashinda Kwa kishindo ..itoshe kusema kwamba Hana Mpinzani Kwa Tanzania,Afrika na Dunia
Uwezo wake wa kufanya kazi kila mmoja anaujua jinsi alivyo mtekelezaji kuliko maneno watanzania wanavutiwa nae
WATANZANIA ,BILA KUJALI VYAMA VYETU MAGUFULI TUMUACHE APITE BILA KUPINGWA
Kwa utendaji wa RAIS MAGUFULI Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha apite bila kupingwa , watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Magufuli atashinda kwa kishindo .
Rais Magufuli Dunia mzima inajua utendaji wake ,2015 tulimchagua sababu alifanya makubwa akiwa Waziri katika wizara mbalimbali ,alijiuza Kwa uchapaji kazi wake ,
Tulipomchagua kuwa Rais amefanya makubwa Dunia mzima imesimama kumshamshangaa Ngosha ,mtu mchapakazj ,mwenye maono na wanajua atachaguliwa Kwa KISHINDO
Sisi watanzania tulitakiwa kumpa heshima iliotukuka Kwa uchapakazi wake .
Tulitakiwa vyama vyote vimuunge mkono apite peke yake tupige Kura za NDIYO ,kuna aina nyingi za demokrasia duniani
Sio lazima kusimamisha mgombea katika kila nafasi .
URAIS MAGUFULI MITANO TENA ,KAZI IKAENDELEEE
Niwaombie upinzani kutorudisha form za Urais pia ni uzalendo ,ni kumuheshimisha RAIS Magufuli ..
Watanzania katika Urais twende na Magufuli ana Nena na kutenda
Iwa mwema
MALIKI MALIKI
mpuuzi mkubwa Inzi wa kijani huyuAnataka kushauri NEC wangechapisha form moja tu
Kwani 2015 alipita pia bila kupingwa.Kama ulikula hela zake na kumwambia kuwa upinzani umekufa, bora urudishe hizo hela maana itakuwa tatizo kubwa. Alishazoea kupita bila kupingwa, hebu apambane apate kura atakapopata na wengine wapate watakazopata.