Rais Magufuli aongezewe Ulinzi

Naungana na mleta uzi kuomba mzee watu apewe ulinzi kiasi hata nzi asiweze kumsogelea maana mabeberu watengeneza chanjo ya mRNA wamechukizwa sana na ujasiri wake wa kuzinenea mabaya chanjo zinazitibu kwa kuua
 
Mmh
 
Uliona mbali mkuu.
CCM ilikuwa haimtaki Huyu jamaa.
Na aliwekewa delila na walijua ubovu wa katiba yetu likawa ni tundu la kupitia
 
Wameshamuongezea Mkuu usiwe na hofu kabisa.
 
Mmh
 
Daaaaah unabii uliotimia
 
Mh aliamini watu wa Usalama kuliko wanajeshi.
jamaa wa Usalama walimjaza Uongo mwingi na ndio waliommaliza
 
Ulinzi uliongezwa lakini yule malaika maarufu wa kuchomoa "fuse" bado alipenya na hakuonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…