Sikuweka jina la mtu yeyote. Ila kila adui yake anayemchukia Magufuli.Amsamehe nabii Lema?
Awe ni Lema, Max anybody ALIYEMKOSEA mimi sikutaja jina. Mungu aongee na moyo wakeUna uhakika anakuelewa?
Ana UTU ataelewa!Una uhakika anakuelewa?
Mkuu umesema kweli. Mimi sizungumzii watu kama wale uliowataja.Rais hana shida na watu wema isipokuwa wachochezi, wezi wa Mali za uma, mafisadi, wasiowajibika kazini, wala rushwa, wapiga dili, wakwepa kodi..wakisamehewa mtasema rais mzembe, dhaifu, tulijua tu nguvu ya soda, kaogopa..mtamalizia kuwa mnataka mabadiliko
Sidhani, kwa sababu sio mara ya kwanza kuongea kama alivyoongea jana. Ni kawaida yake kuwa mnyenyekevu na mwenye maneno ya upendo na busara akiwa kanisani, lakini akitoka tu, anayaacha humo humo kanisani. Chuki au upendo hauko mdomoni mwa mtu bali moyoni mwake. Ndio maana wengi husema tu, lakini kuyatenda wanayosema inakuwa vigumu kwa kuwa hawayasemi kutoka ndani ya mioyo yao. Tusubiri tuone binadamu sio jiwe huenda akabadilika.Ana UTU ataelewa!
Halafu aende Zenj, akafute hotuba za visasiAmsamehe nabii Lema?