Rais Magufuli anza mwaka mpya 2017 na kusamehe

SASA mkisema asamehe mahakama ya mafisadi si ndo basi tena
Sizungumzii MAFISADI,ila nilisema wale ambao walimuuzi PERSONALLY/YEYE MWENYEWE na familia yake na yeye kama Magufuli na si kama rais na AKAUMIA!

Ni kawaida kwa binadamu kukasirika na ana HAKI ya kukasirika. Ila Akumbukapo MSALABA wa msamaha wa Yesu Kristo aliyewaombea ADUI zake

"Eee Mungu USIWAHESABIE dhambi hii maana HAWALIJUI lile WALITENDALO."
Hiyo ndo msingi wa UKRISTO ukiondoa KUSAMEHE inabaki DINI peke yake. Na mtu wa DINI HANA MSAMAHA

.Lakini yule aliyezaliwa mara ya PILI/Saved by Grace anajua MATAKWA ya Mungu ni NINI!
 
Huyo sio wa kumuamini hata kidogo.
Screenshot_20161226-190404.png
 
Moyo wa juma ponda mali umekufa ganzi hakuna analoongea linalotoka moyoni mwake zaidi ya usanii. Hasira za wengi kama ni za halali na kweli hazitamuacha salama.
 
Awatoe uamsho..watamfiia wale jamaa wengi wagonjwa roho mkononi..
 
Rais hajamkosea mtu yeyote na kamwe hatowasamehe wezi na wabidhilifu kama ni lengo lako....
Kila mtu atimize wajibu wake uliyomuweka duniani mambo ya kusamehe wezi hakuna....
Rais endelea kunyoosha wananchi tuko pamoja nawe.....huna sababu ya kusamehe mtu yeyote yule hasa wezi na mafisadi...endelea kulala nao mbele.
Hakuna cha misamaha hapa...wano pewa misamaha ni wafungwa tuu na alisha samehe zaidi ya wafungwa 3000 ambao wana haki hiyo kisheria....
 
Mkuu umesema kweli. Mimi sizungumzii watu kama wale uliowataja.
Nazungumzia hasa wale WALIOMUUMIZA Magufuli personaly/Yeye mwenyewe na familia yake.

Mambo ya WIZI kama rushwa ni kuwa WAKIRUDISHA ile MALI iwe ni NUSU ama yote WASAMEHEWE!
Toa mfano wa hao watu....hivi kwani kawafanya nini hao unaowasema? ni wakina nani hao?
 
huyu m2 anawapaka watanzania mafuta kwa mgongo wa chupa,huyu mzee hana utu na upendo,n m2 wa visasi na jazba,hana kifua rejea kauli yake kule zanzibar NINGEKUWA MIM NDO NIMEKATALIWA MKONO anataja jina Mungu kwa kusema haki ya MUNGU ambae anamhubir na kuwashawish wananch mbumbumbu wamwombee kwa huyu MUNGU huku akijiapizia kuwa asingeweza mtendea Seif huduma za ke za msing kama kiongoz mwandamz na kumshawish Mzee Shein awe na moyo kama wake wa kiukatil pasi na kujua kuwa sio kila m2 anamoyo mgumu kama wake. kwa namna alivyo kamwe hawez samehe!
 
Halafu aende Zenj, akafute hotuba za visasi
Wapemba Wa Pemba Sio Watu Wa Kuwachekea, Watakukaa Kichwani, Kipindi Cha Kikwete Walifikia Hatua Ya Kupeperusha Bendera Ya Kenya - Hao Mbwai Mbwai Tu

Mimi Namwomba Atusaidie Ajira Tu Basi Tulee Familia Zetu. Wanasiasa Aendelee Kuwabana Tu Maana Hakuna Namna Nyingine
 
Rais hajamkosea mtu yeyote na kamwe hatowasamehe wezi na wabidhilifu kama ni lengo lako....
Kila mtu atimize wajibu wake uliyomuweka duniani mambo ya kusamehe wezi hakuna....
Rais endelea kunyoosha wananchi tuko pamoja nawe.....huna sababu ya kusamehe mtu yeyote yule hasa wezi na mafisadi...endelea kulala nao mbele.
Hakuna cha misamaha hapa...wano pewa misamaha ni wafungwa tuu na alisha samehe zaidi ya wafungwa 3000 ambao wana haki hiyo kisheria....
Kuna msemo wa kiingereza unaosema
"Ukitaka kumshinda ADUI yako MSOGEZE karibu.

KUTOKUSAMEHE nako pia kunaLIPA VIBAYA.
Maana UTAJIJENGEA maadui WENGI sana.

UONGOZI unahitaji HEKIMA na wala si kutumia NGUVU!
Na KUSAMEHE pia KUNALIPA vizuri sana.Maana UTATAWALA na AMANI!

VISASI havilipi bali HUZAA VISASI vyisivyokoma!
Mafisadi WARUDISHE mali WALIZOIBA.
Lakini waliomuudhi na kumkasirisha na KUMDHALILISHA na kuongea UONGO juu yake hao AWASAMEHE
Hiyo ni TABIA ya YESU Kristo!
 
Mh. Rais Magufuli ninakupongeza kwa hotuba yako fupi jana Singida katika kanisa la Parokia ya Moyo mtakatifu wa Yesu.
Katika hotuba yako uliwaagiza watanzania KUPENDANA na KUSAMEHEANA. Msamaha utaeleweka vizuri kama hukumu ya nguza na mwanae itasamehewa kwa kufuata haki.

Nami nakuunga mko kabisa kauli yako maana MSINGI wa UKRISTO wa kweli umejengwa katika UPENDO. ndiyo maana Biblia inasema
"MSILIPIZE kisasi ndugu zangu "Rom 12:17-20 Adui yako akiwa na KIU mpe MAJI na akiwa na NJAA mpe chakula maana ni kama kumwekea MAKAA ya moto kichwani"

Najua mwaka wa 2016 kuna
WENGI wamekuudhi na hata
KUKUSEMA vibaya na wengineVIBAYA sana
Kuna WENGI pia HAWAKUKUTAKIA MEMA mengine haya siwezi kuyaandika hata mimi yalinisumbua. Lakini naomba famya jambo moja la maana ambayo hiyo ndo TABIA ya Yesu Kristo. WASAMEHE wote(.......)
Hii itakusaidia KIROHO ma hata KIUTAWALA maana UTALISHUSHA joto la kisiasa na CHUKI zinazotokana na WAKUCHUKIAO!

Yesu akasema katika Mathayo 6:14 Kwa maana MKIWASAMEHE wale WALIOWAKOSEA baba yenu wa mbinguni naye ATAWASAMEHE ninyi Na MSIPOWASAMEHE baba yenu naye HATAWASAMEHE ninyi"

Anza mwaka 2017 bila MIZIGO yeyote. Neno linasema njia za MTU zikimpendeza Mungu, HUWAFANYA ADUI zake kuwa RAFIKI naye. Naomba tena regardless WALIVYOKUMIZA. Mwachie Mungu. ANZA kwa KUWASAMEHE.
Siwezi KUWATAJA majina yao hapa maana nitakuwa kama nakulazimisha.
Ila Mungu mwenyewe AKUAMBIE huyu na huyu."MSAMEHE".
Unielewe sizungumzii MAFISADI waliopora mali ya Watanzania na kuwaacha MASKINI. Bali ni wale
waliokuwa WAKIKUOMBEA MABAYA ama kukutakia MABAYA!
Uwe na mwaka mpya wa BARAKA tele!
 
Back
Top Bottom