TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Hapakazi. Majungu peleka kule.
Hapakazi. Majungu peleka kule.
Hapakazi. Majungu peleka kule.
Tehetehe.. Ccm bana, kwahiyo siku hizi wapiga dili wenu mmewabadilishia majina mnawaita majembe?Prof Muhongo na Maswi ni majembe balaa, watu hawajui tu, akina mengi waliwasukia zengwe buree tu kisa wamewabania vitalu vya gesi
Sema Muhongo na Maswi walipata mgawo kiasi gani , kama ambavyo walipata hayo majembe yako.Chenge, ngeleja, rugemarila ni majembe.
Kma hao jamaa ni majembe kwanini walikutwa na hatia baada ya uchunguzi wa bunge..Prof Muhongo na Maswi ni majembe balaa, watu hawajui tu, akina mengi waliwasukia zengwe buree tu kisa wamewabania vitalu vya gesi
Ndo wamesharudi sasa, chuki zenu binafsi mmeaibika nazo.Tehetehe.. Ccm bana, kwahiyo siku hizi wapiga dili wenu mmewabadilishia majina mnawaita majembe?
Bunge halikuchunguza bali walifanyia kazi ripoti ya CAG ambayo nayo haukumtaja Muhongo wala Maswi kuhusika popote. Tatizo lenu huwa mnashabikia tu bila kusikiliza hoja wala kusoma yanayoandikwa toka vyanzo mbalimbaliKma hao jamaa ni majembe kwanini walikutwa na hatia baada ya uchunguzi wa bunge..
ina maana basi ripoti ya CAG na bunge ziliwasingizia tu .
Subiri utaiona kule TANESCO na TRA. Majembe yako kazini.Mipini ya haya majembe iko wapi?
Twende taratibu usitake kujifanya unajua kumbe ukawa mweupe tu,Bunge halikuchunguza bali walifanyia kazi ripoti ya CAG ambayo nayo haukumtaja Muhongo wala Maswi kuhusika popote. Tatizo lenu huwa mnashabikia tu bila kusikiliza hoja wala kusoma yanayoandikwa toka vyanzo mbalimbali
Tehetehe.. Ccm bana, kwahiyo siku hizi wapiga dili wenu mmewabadilishia majina mnawaita majembe?
Jembe la kuigiza lile, Majembe yamepewa kazi.Hata mama Tibaijuka naye amewahi kujinadi kuwa ni jembe.