Rais Magufuli anasema...

RASCO BOY

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
428
485
Unakuta mama lishe ana mtaji mdogo au machinga anauza pipi lakini kila siku wanafuatwa kulipa kodi nimesema wapewe vitambulisho lakini mnachelewesha sana, Naomba wafanyabiashara wadogo wasisumbuliwe'

Maneno ya Rais Magufuli.

Toa maoni yako.

Maoni yangu

Anataka walipie vitambulisho mwisho wa siku anarudi pale pale kua walipie Tsh 20,000 sasa boksi la pipi Tsh 5,000 alafu unalipia kitambulisho Tsh 20,000
Haaaa 2020 tunaenda na membe...
 
Acha uongo na uchochezi na ufitini, kwa hiyo kasema kila boksi la pipi la elfu 5 unalipia elfu 20 au unalipa elfu 20 kwa mwaka na kama ni kwa mwaka utakuwa ameuza boksi ngapi... hivi ukisema uongo na kuftinisha utafaidika nini
Ujaelewa nilichosema katika maoni yangu isipokua umekulupuka kutoa maoni pole yako
 
Hahaha magufuli kasusiwa nchi sasa inamshunda, enzi zake angewatumbua TRA wote aajiri upya.
 
Labda nilimsikia vibaya naomba kusahihishwa kama sivyo, alisema gharama ya kutengeneza kitambulisho kimoja ni shilingi 22,000 lakini hao wafanyabiashara ndogo watalipa 20,000 kwa kila kitambulisho, ikimaanisha kwamba kuna kama discount ya shilingi 2,000 kwa kila kimoja.
 
Ujaelewa nilichosema katika maoni yangu isipokua umekulupuka kutoa maoni pole yako
Mnafiki hana tofauti na mchawi... sasa ukipotosha kwa makusudi unafikiri ndo mtachukua dola, watu wanataka hoja siyo kudandia matukio kama hivo... wewe umesema eti "Anataka walipie vitambulisho mwisho wa siku anarudi pale pale kua walipie Tsh 20,000 sasa boksi la pipi Tsh 5,000 alafu unalipia kitambulisho Tsh 20,000" ukimanisha kuwa wanalipa kodi kubwa kuliko ata mtaji wa vitu vyao umesahau kupiga hesabu kuwa hiyo elfu 20 siyo kwa kila boksi au kila siku
 
Acha uongo na uchochezi na ufitini, kwa hiyo kasema kila boksi la pipi la elfu 5 unalipia elfu 20 au unalipa elfu 20 kwa mwaka na kama ni kwa mwaka utakuwa ameuza boksi ngapi... hivi ukisema uongo na kuftinisha utafaidika nini
Ni mihemko mkuu
 
Kama vitambulisho vingegawiwa bure kwa hao machinga ningeone ni bonge la wazo...
Lakini swali la kujiuliza... Kwanini vitmbulisho vingine tena mahususi tu kwa wamachinga?? Ina maana ndo washakuwa rasmi.??
Anyway...
Nisiseme sana.. Ila conclusion yangu ni "wamachinga wapatikane kwa wingi chini ya mfumo wa serikali ili waweze kutumika kuchakachua matokeo ya uchaguzi kwa urahisi"
 
Chukua 20000 gawa kwa miezi 12(mwaka) utapata karibu 1700.
Ina maana hawa wajasiriamali watakuwa wanalipa 1700 kila mwezi halafu wewe unaleta upotoshaji wako wa kipumbavu as if watu wote ni mazwazwa.
Waafrika yafaa mtawaliwe kwa mjeledi ili mpate akili maana kwenu hakuna jema mmekuwa kama watu waliolaaniwa.
 
Unakuta mama lishe ana mtaji mdogo au machinga anauza pipi lakini kila siku wanafuatwa kulipa kodi nimesema wapewe vitambulisho lakini mnachelewesha sana, Naomba wafanyabiashara wadogo wasisumbuliwe'

Maneno ya Rais Magufuli.

Toa maoni yako.

Maoni yangu

Anataka walipie vitambulisho mwisho wa siku anarudi pale pale kua walipie Tsh 20,000 sasa boksi la pipi Tsh 5,000 alafu unalipia kitambulisho Tsh 20,000
Haaaa 2020 tunaenda na membe...
THUBUTU...huyo membe mtakwenda nae kijijini kwenu
 
Back
Top Bottom