Ndugu Zangu wadau kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Hotuba na misemo ya Mh.Rais wetu kuhusu anavyo tuomba sisi wananchi wake tumuombee kwa Mola kuhusu Maisha yake kwa Ujumla wake , Pia amekuwa akihubiri kuwa yeye ni Mpenda Haki na Daima ni Mkweli , Sasa mimi binafsi najiuliza na Kutafakari Je Mh JPM ana Mwamini Mwenyezi Mungu yupi ???? M'Mungu / ALLAH /YEHOVA ...n.k .!! Kwani wote hawa wanaongozwa na sifa ya UKWELI na HAKI lakini kwa Mh. JPM sizioni sifa hizi hata kidogo zaidi ya Usanii na Komedi vichekesho. Hebu tizama suala la Meya wa TANGA , MEYA wa DAR pia tizama mambo ya ZNZ !! Hivi kweli Tanzania Tuna kiongozi anaye weza kutuongoza kwa HAKI na UKWELI !! NDUGU YETU MAGUFULI ACHA KUMCHEZEA SHERE MWENYEZI MUNGU KWANI AKIKUKASIRIKIA HAKUNA ATAKAYE WEZA KUKUOKOA. kama kweli unahitaji DUA zetu kwa Allah kama unavyo tuomba sisi Wananchi basi Jifunze kuwa MKWELI na Simamia HAKI ! ! ! InShaAllah Mola Akupe HEKIMA !