Rais Magufuli amteua Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ndege za Serikali

Mnanikera sana mnaozungumzia ajira badala ya weledi wa ajira, yaani ukipewa hiyo kazi utaenda kuleta faida gani, sio kazi kuomba ajira tu
Kwann wasiwape vijana ajira? Kutwa kukaa majukwaani na kuwaambia watoto wa wenzao wajiajiri,

Wao wanajirundikia vyeo vya nn? Africa tutasubiri SANA....hata yule anayejinadi wa wazalendo na wanyonge anafeli...


Everyday is Saturday.....................:cool:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndege na Corona hii lazima zipate hasara sana.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom