Hiyo ndiyo tume ya uchaguzi ya Tanzania, tume inateuliwa na Mwenyekiti wa chama kimoja bila kuwashirikisha wenyeviti wa vyama vingine au bila kuitangaza hiyo nafasi ili wafanyiwe usaili wa haki
Halafu kwa uteuzi kama huo MTU utegemee hiyo NEC kuwa huru...hiyo nafasi ingekuwa inajitegemea kwakweli........ mwisho wa siku hapo lazima fadhila zilipwe.