Rais Magufuli amteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Wadau CV za hawa wateuliwa zikoje ? Maana hizi ni nafasi nyeti na zenye wajibu mkubwa. JamiiForums kama mtandao makini mnaweza kutupia ''walikotoka hawa waheshimiwa na weledi wao wa kikazi, kesi tata walizoonyesha umahiri / mapungufu n.k '' a.k.a C.V

Natupia C.V ya Mheshimiwa Jaji Gerald Ndika

The Hon. Mr. Justice Dr. Gerald A.M. Ndika is a Judge of the High Court, Land Division, Dar Es Salaam. Having graduated from the University of Dar Es Salaam with the Bachelor of Laws (LL.B) degree in 1993, he joined the prestigious Cambridge University in the United Kingdom in 1995 where he pursued his postgraduate studies before proceeding to Japan in 1998 for further studies.

In his professional career spanning nearly twenty-five years, Justice Dr. Ndika initially served as a Resident Magistrate and then trained hundreds of aspiring magistrates and court clerks at the then Institute of Development Management – Mzumbe, Morogoro and later at the Institute of Judicial Administration, Lushoto. He was instrumental in establishing the Law School in Tanzania of which he is also the head.

He has research and consulting interests in the areas of Intellectual Property Law, Commercial Law and International Economic and Business Law. Notable government-related consultancy assignments he executed include mainstreaming of environmental issues and reform of the juvenile justice system of Zanzibar.
Source: http://lst.ac.tz/index.php/about-scl/our-staff/173-gerald-a-ndika
N.B
Wadau mnaweza kujazia zaidi ya wasifu wa Lst.ac.tz juu wa mheshimiwa huyu.
 
Mechi kali ya Yanga na Simba 2020
Refarii ni MANJI wa Yanga!
Nani atashinda?
Katiba mbovu sana ya Tanzania,mtu muhimu atakaye amua uchaguzi wa 2020 anateuliwa na mmoja wa wagombea!
Tena ana uwezo wa KUMFUKUZA siku yyt akiamua
Upuuzi mtupu uchaguzi wa Tanzania!!
 
Bado sana muda wa raisi wa Tanzania kutoka upinzani,bado sana muda wa raisi wa Tanzania kutumikia awamu moja.Tunyooshe baba mpaka 2025,badili na katiba ikiwezekana...
 
Kila la heri huku uendako jaji lubuvu sitaisahau ile sauti yako ya Hashim rungwe spunda ila Tanzania haitakusahau Na ndugu yako jecha maana ndio uchaguzi watu awakufurahia matokeo yako ila
 
Ule uzi ambao uko humu unaosema wapinzani wataendelea kushiriki uchaguzi bila kushika dola kumbe ulitangulizwa kama ya maana yake halisi kuja.Eti ccm itatoka madarakani kwa kura,thubutuuuuuuuu!!
 
Atamsaidia kubaki iMagogoni 2020

Serikali ya awamu hii kiboko matamko,uteunguzi,makanusho na teuzi kila siku ndo miradi ya maendeleo
Sijawahi kuona nchi iliyowahi kupata maendeleo kwa kufanya vitu vinafanyika hapa kwetu..

Teuzi,utumbuaji mwajipu,tenguzi na matamko
 
Rais Magufuli amteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) akichukua nafasi ya Jaji Lubuva.
531b644a451ca015fb1bc34a315f3e93.jpg
0da39de8eb92f5344b8f32095c0bb041.jpg
 
Back
Top Bottom