Salama mkuu mi nipo maeno ya feri napata supu ya pweza huku nikitazama lile jumba la mikutano.Habari zenu wakuu napita kuwasilimia nipo mtaani nakunywa kahawa.
Salama mkuu mi nipo maeno ya feri napata supu ya pweza huku nikitazama lile jumba la mikutano.Habari zenu wakuu napita kuwasilimia nipo mtaani nakunywa kahawa.
George kaishia kula pilau la ikulu jana!
Huuu George wafanya biashara wengi wamekiri kutokumjua, binafsi pia sikuwa namskia skia.
Huenda kukaaa tu ofsini bila kuwa na ubunifu ktk utendaji kazi wake,kumepunguza imani kwa rais wetu.
Pole sana George.
Ulijisahau mno, mh anapenda Kick.
Miss Natafuta, nawe utazeeka tu. Ni suala la muda.Kuna wazee humu
Sasa unanilaani jamani? Ile sura unataka kusema ni ya miaka 40?Miss Natafuta, nawe utazeeka tu. Ni suala la muda.
Hata hivyo huyo mate wangu si kwamba ni mzee, ana sura fulani hivi ngumu.
Mkuu siku nyingi sana; jina lako inanikumbisha sana hotels zangu pendwa kule Madrid Hispania. Msalimie sana mkuu ZombaHabari zenu wakuu napita kuwasilimia nipo mtaani nakunywa kahawa.
hmna cha pole ela nying anzoRais John Magufuli amemteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara akichukua nafasi ya Joseph Kakunda ambaye uteuzi wake umetenguliwa
> Edwin Mhede ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu TRA; aliyekuwa Kamishna wa TRA, Charles Kichere uteuzi wake umetenguliwa na ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe
View attachment 1121315
Jamani Mh. Magufuli niteue namimi niwe mkuu wa wilaya ya ArushaRais John Magufuli amemteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara akichukua nafasi ya Joseph Kakunda ambaye uteuzi wake umetenguliwa
> Edwin Mhede ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu TRA; aliyekuwa Kamishna wa TRA, Charles Kichere uteuzi wake umetenguliwa na ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe
View attachment 1121315
mwshni nimepapenda,kwamb anapenda kickGeorge kaishia kula pilau la ikulu jana!
Huuu George wafanya biashara wengi wamekiri kutokumjua, binafsi pia sikuwa namskia skia.
Huenda kukaaa tu ofsini bila kuwa na ubunifu ktk utendaji kazi wake,kumepunguza imani kwa rais wetu.
Pole sana George.
Ulijisahau mno, mh anapenda Kick.
Kila siku anateua. Hajui kama kuna kazi nyingine zinamsubiriAnakaribia kujiteua mwenyewe sasa!
Bashe yuko smart sana, hataki watu wenye ubongo mpanaNilikuwa na ban skuweza sema kwa wataki ila miongoni mwa uteuzi atakao ujutia ni huo mwambieni haache visasi ampe bashe wizara