Rais Magufuli amteua Dkt. Maduhu Kazi kuwa Mkurugenzi wa TIC

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,690
22,704
Rais Magufuli leo July 12 amemteua Dkt.Maduhu Isaac Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) akichukua nafasi ya Godffrey Mwambe, kabla ya uteuzi Maduhu alikuwa Meneja wa Idara ya Sera za Kibajeti na Madeni Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

KAZI.jpg
 
Aisee..kazi ipo Mwambe arudi BOT sasa kama hajala teuzi nyingine.na sababu itakuwa ni Ile Ile iyomfanya mzee akamtukana kwenye simu.miaka kama miwili imepita
 
Inaonekana Mkutano ulimsumbua sana maana ulimchelewesha kufanya teuzi. Kamaliza tu chap na kuteua soon
 
Mimi nafikiri Mr. Mwambe ameomba apumzike kwenye hiyo nafasi ili Nguvu kubwa aielekeze kwenye Kugombea Ubunge(muda ndo huu)
Mr. Mwambe anagombea Ubunge jimbo la Masasi mjini akichuana na Mbunge wa sasa wa jimbo la Masasi mjin Mh. Chuachua
Hiyo basi Mr. Mwambe atakua ameomba ruksa akagombee ili apate muda wa kukutana na Wajumbe
 
Panga pangua au kwakuwa umebakisha miezi miwili kurudi uchatoni.
Mwambe atakuwa ameomba likizo ya kugombea ubunge ndio atakuta nafas imejaa.

Suala la Chato ni mpaka 2025 Mungu akimuweka hai. Zingine ni hadithi za kusadikika na ujinga wa kijiweni kudhani Jiwe linarudi Chato baada ya miezi 2.
 
stone limechoka linakula wake za watu tu nakubwabwaja nakuteka.
 
Inaonekana kutano ulimsumbua sana maana ulimchelewesha kufanya teuzi. Kamaliza tu chap na kuteua soon
Tatizo akili zenu mnadhani uteuzi wa Rais unakuwa km vile kuchagua maandazi ya kunywea chai ya rangi kwenye kombe la plastiki.

Uteuzi unaanza na uchunguzi mpaka mtu afikie kuteuliwa. Jana tu ulisikia makamu wa rais alikuwa nao wawili mfukoni alipomtaja Samia mkadhani amekurupuka tu tokea hapo kumteua. Ni mchakato mrefu kuteua mtu kushika wadhifa kama huo
 
Back
Top Bottom