Kama itakuwa ni kweli, basi hata mimi nimejiuliza kama wewe.
Hakuna kitufe cha 'like' ndio maana imebidi ni quote. Tatizo la huduma za afya halikuanzia hapo, limeanzia toka juu, na jambo hili ni katika idara zote za serikali. Inawezekana mkurugenzi akawa na uzembe, lakini uzembe huo pia inawezekana umechochewa na mambo mengine ambayo yako juu ya uwezo wake.
Watu wa aina yako mmezivamia siasa za upinzani mpaka akili na fikra zetu zimejaa negative thinking and ill-wishing.Watu wanajua kupamba. KUMBE MAGUFULI KAVUNJA BODI YA HOSPITAL KWASABABU BODI IMEMALIZA MUDA WAKE..HAHAAA
Kuna baadhi ya watu wanabeza kwa sababu hawataki Rais Magufuli afanikiwe katika kazi zake.Nadhani ni busara kumuunga mkono Mhe Rais kwa kuonyeshwa kukerwa na aliyoyaona pale Muhimbili,sasa kinachofatia ni kushughulika na tatizo.
Kuna baadhi ya watu wanabeza kwa sababu hawataki Rais Magufuli afanikiwe katika kazi zake.
Tumekuwa taifa la evil eye
Atajieleza huko huko atakapokuwa. Kahamishiwa wizarani akaendeleze upuuzi wake huko huko. Mpuuzi sana yuleAmempa fursa ya kujieleza? Ikitokea kuwa serikali ndio haikupeleka fungu, atamrudisha kazini? Utawala bora hauko hivyo.
Kama itakuwa ni kweli, basi hata mimi nimejiuliza kama wewe.
Ombeni Sefue ukikaa kwenye kiti koti halifungwi vifungo.
No one is condemned unheard! Je kama alitaarifu mamlaka za juu kuhusu tatizo hilo akaambiwa asubiri fedha hazipo kwa sasa Hazina? Katibu Mkuu hazina alipaswa kuulizwa kama ana taarifa juu ya jambo hilo na jee ombi la fedha kwa matengenezo na ununuzi wa vifaa lilifika kunakohusika? Sasa akitembelea hospital za Mikoani si atafukuza Madakatari wa kuu wa Mikoa yote kwa kosa hilo? Dr
Pombe ameanza vizuri sana ila asaidiwe ili akimuwajibisha mtu awe ni muhusika!
MRI na CT SCAN za hospitali binafsi nzima kila siku,lakini za hospitali za umma hasa Muhimbili kila kukicha mbovu,hapa kuna hujuma Mh. Rais wangu,hongera kwa maamuzi uliyofanya!
..how about UCHAFU?
..hivi mmeona jinsi hospitali ya taifa ilivyo CHAFU?
..mbona kule Aga Khan alipotembelea kulikuwa kusafi?
..Raisi alipaswa kuwafuta kazi wahusika walisababisha hali ya uchafu Muhimbili.