NCHAGWA JOSEPH
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 802
- 226
Nakuombea sana dr john urudishe heshima ya taifa langu tanzania.
Keshafukuzwa tayari
Watu wanajua kupamba. KUMBE MAGUFULI KAVUNJA BODI YA HOSPITAL KWASABABU BODI IMEMALIZA MUDA WAKE..HAHAAA
..hajamtimua, kumhamishia wizara ya afya ambapo atapangiwa kazi nyingine.
..Raisi alitakiwa ateremke ngazi moja au mbili chini ya huyo Kaimu Mkurugenzi Mkuu na kuwafuta kazi wazembe wengine.
..hata huko wizara ya afya wapo wanaopaswa kufukuzwa kazi kwa kusababisha aibu hii ktk hospitali ya taifa muhimbili.
Kumbe hiyo nafasi ilikuwa inashikiliwa na mwislamu? okey nimeshaelewa.
Watu wanajua kupamba. KUMBE MAGUFULI KAVUNJA BODI YA HOSPITAL KWASABABU BODI IMEMALIZA MUDA WAKE..HAHAAA
Bodi ilishamaliza muda wake unaaenda kuovunja ili iweje?Watu wanajua kupamba. KUMBE MAGUFULI KAVUNJA BODI YA HOSPITAL KWASABABU BODI IMEMALIZA MUDA WAKE..HAHAAA
Hajamfukuza!!ameuliza sababu, ukikaribishwa chakula kizuri kwa mwezio kagharamikia, usifukuze wa kwako kama hujagharamikia
CCM bado inanuka Rushwa, ufisadi, uhaini, usaliti, uovu, upendeleo, ubadhirifu etc...Si MAGUFULI wala yeyote ndani ya CCM awezaye kuwageuza hawa mafirauni, dawa sahihi ilikuwa ni kuwaondoa tu, lengo ambalo lilishafanikiwa, sema wizi wa kura na kutokuwa na TUME HURU kukatukwamisha!
Keshafukuzwa tayari
Amempa fursa ya kujieleza? Ikitokea kuwa serikali ndio haikupeleka fungu, atamrudisha kazini? Utawala bora hauko hivyo.
..how about UCHAFU?
..hivi mmeona jinsi hospitali ya taifa ilivyo CHAFU?
..mbona kule Aga Khan alipotembelea kulikuwa kusafi?
..Raisi alipaswa kuwafuta kazi wahusika walisababisha hali ya uchafu Muhimbili.
..how about UCHAFU?
..hivi mmeona jinsi hospitali ya taifa ilivyo CHAFU?
..mbona kule Aga Khan alipotembelea kulikuwa kusafi?
..Raisi alipaswa kuwafuta kazi wahusika walisababisha hali ya uchafu Muhimbili.
hayo maswala raisi hana muda wa kufuatilia na kusoma barua ,,,..... alipaswa kutoa taarifa kuonesh kafanya juhudi zipi???? ok nilipeleka taarifa wizarani ikakataa kutoa ushirikiano,,,,, enhe what next?? ukaamua kulala watu wafe?????
embu tumuache raisi afanye kazi