Rais Magufuli amsimamisha kazi Kaimu Katibu wa Tume ya Mipango Wizara ya Fedha

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Magufuli.png


Rais Magufuli amsimamisha kazi Kaimu Katibu wa Tume ya Mipango Wizara ya Fedha Frolence Mwanri, aagiza uchunguzi jengo la Airport Terminal 3.

Hili limejitokeza baada ya Rais Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza leo kwenye uwanja wa ndege wa jijini Dar es salaam na kushangazwa na gharama kubwa zilizotumika katika ujenzi wa uwanja huo.
 
Back
Top Bottom