Rais Magufuli amshauri Museveni amtimue boss wa URA

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,277
17,983
Katika hali isiyo ya kawaida, JPM amshauri Rais Museveni amtimue Mtendaji Mkuu wa Uganda Revenue Authority kwenye kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.

Hii blunder kubwa kwenye anga za kidiplomasia. Angalau hayo wameongea kwenye faragha. Walifanya hivyo lakini ajabu kayaleta hadharani.

Kazi tunayo.
 
cc Mshana Jr
 
HAHAHAAAAA HUYO N MJOMBA WA MAMA MUSEVENI NDIO MAANA ALIKUWA ANACHEKA TU KWENYE HOTUBA AWEZI MGUSA KAMWE ULIZA WAGANDA WANAVYOMWELEWA AKIAMUA KUNYOSHA ANANYOSHA AKIAMUA DILI UMGUSI

KIUFUPI UNTOUCHABLE DG
 
Katika hali isiyo ya kawaida, JPM amshauri Rais Museveni amtimue Mtendaji Mkuu wa Uganda Revenue Authority kwenye kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.

Hii blunder kubwa kwenye anga za kidiplomasia. Angalau hayo wameongea kwenye faragha. Walifanya hivyo lakini ajabu kayaleta hadharani.

Kazi tunayo.
Bomba la mafuta ndugu,kuna mzozo wa kodi Uganda na kampuni ya Total .
 
kuna watu walimdanganya magu kuwa anakubalika imempa kiburi hadi kuhisi ana mawazo zaidi ya musevi ushauri gani wa kibwege ivo

yeye hapendi shariwa na ukifanya ivi analopoka unawashwa leo yeye anawashwa nn? atulie
 
Back
Top Bottom