Rais Magufuli amkaribisha mbunge CUF Tandahimba, Katani kuhamia CCM ili walete maendeleo kwa kasi moja

sasa yanadhihrka kle nilichokuwa nawaza kila siku kuwa watanzania 75% wanauwezo mdogo sana wa kufkir juu ya maamuz yao ktk mukstabal wa nch yao! m2 kakufanyia umafya lkn huyo2 anakuja tena kukurubun nawe unaungana nae,m2 huyu kakutengenezea makosa,watu wameumia,wamekufa nk leo unathubutu kuwa nae karib kisa 2mbo lako lnanjaa na sio kusimamia kile unachokiamin na kujal dhahma walozipata wenzako! Tanzania 2tachelewa sana.poor Tanzania!
 
Kuna Mkoa Wa Ruvuma na wilaya zake,dodo na wilaya zake,wilaya kyela,kilolo,iringa vjjn,newala,kwa Nkamia Nk Maeneo haya yote yako chn ya ccm toka tanzania izaliwe lkn maeneo haya hayana maendeleo mpaka leo hii,kwa mf Ruvuma Ndio unaongoza nadhan ktk nch h toka izaliwe inaongozwa na wabunge wa ccm mpaka leo hii lkn ukienda huwez fananisha na majmbo ambayo yako chn ya upnzan! ule mkoa unakila kitu lkn n mkoa ambao uko nyuma sana kimaendeleo,umeme wa grade mpaka leo hakuna labda kama wameleta mwakajana au mwaka huu make nikiwa chuo pale songea mjn,umeme unaotumika n wa majenereta wkt umeme wa grade ya taifa umekomea njombe na wananch wale kama vle wamelishwa limbwana hakuna kiwanda hata kimoja unategemea utapata wap maendeleo lkn wao hlo wala haliwahusu kuna mahnd mkoa ule lkn hayana wanunuz wao wala haelew wao na ccm,ccm na wao hawanahabar ya maendeleo! mbaya zaid wanawazr mkubwa pale tena anakula sahan moja na jiwe,lkn jiwe toka achaguliwe hajawah kutia pua yake ktk mkoa ule. poor tanzania
 
Rais Magufuli amesema Maendeleo hayana Vyama na hivyo amempongeza mbunge wa Tandahimba, Katani kwa kuulizia utekelezaji wa ahadi za CCM kila mara awapo bungeni.

Rais Magufuli amesema Katani anafanana na wanaCCM hivyo amemkaribisha kama atajisikia kuunga mkono.

Wagombea ubunge wa CHADEMA na CUF 2015 jimbo la Newala wamehamia rasmi CCM leo wakati Katani ataendelea kusubiriwa.

Pia Mwenyekiti wa CHDEMA wilaya ya Newala amehamia CCM.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Mh.Rais anafanya mikutano ya chama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama maendeleo hayana vyama mbona anataka watu waende huko CCM au hicho siyo chama?
Kusema kweli tungelikuwa na uwezo wa kufikiri walau 25% ya normal basi hili ni swali la msingi sana, lakini kwa tulivyo linawahusu chini ya 15% ya watz!
 
Haituhusu
Rais Magufuli amesema Maendeleo hayana Vyama na hivyo amempongeza mbunge wa Tandahimba, Katani kwa kuulizia utekelezaji wa ahadi za CCM kila mara awapo bungeni.

Rais Magufuli amesema Katani anafanana na wanaCCM hivyo amemkaribisha kama atajisikia kuunga mkono.

Wagombea ubunge wa CHADEMA na CUF 2015 jimbo la Newala wamehamia rasmi CCM leo wakati Katani ataendelea kusubiriwa.

Pia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Newala amehamia CCM.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli amesema Maendeleo hayana Vyama na hivyo amempongeza mbunge wa Tandahimba, Katani kwa kuulizia utekelezaji wa ahadi za CCM kila mara awapo bungeni.

Rais Magufuli amesema Katani anafanana na wanaCCM hivyo amemkaribisha kama atajisikia kuunga mkono.

Wagombea ubunge wa CHADEMA na CUF 2015 jimbo la Newala wamehamia rasmi CCM leo wakati Katani ataendelea kusubiriwa.

Pia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Newala amehamia CCM.

Maendeleo hayana vyama!
Kama Mimi ngekuwa katani nisingepoteza hiyo fursa maana cuf ishajifia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli amesema Maendeleo hayana Vyama na hivyo amempongeza mbunge wa Tandahimba, Katani kwa kuulizia utekelezaji wa ahadi za CCM kila mara awapo bungeni.

Rais Magufuli amesema Katani anafanana na wanaCCM hivyo amemkaribisha kama atajisikia kuunga mkono.

Wagombea ubunge wa CHADEMA na CUF 2015 jimbo la Newala wamehamia rasmi CCM leo wakati Katani ataendelea kusubiriwa.

Pia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Newala amehamia CCM.

Maendeleo hayana vyama!
Mnunuzi mkuu anapoingia sokoni bila aibu ! hakika nchi inaabika sana !
 
kwani hiyo ziara imeratibiwa na serikali kwa shughuli za kiserekali au ni ya ccm?
 
Back
Top Bottom