Rais hajatudhalilisha ktk hili ila amewaambia Mabalozi walioko nje ya nchi kuwa wasiingilie kesi yoyote ila iwapo itakuwa inahusu madawa ya kulevya na waache sheria za nchi husika zichukue mkondo wake.Hivi ni kosa la jinai kumkosoa Rais anapokuwa amekosea?
Rais ni binadamu Kama binadamu wengine wote ,huwa anakosea pia.
Akikosea ni lazima tumwambie kuwa amekosea, hatuwezi kumnyamazia hata kidogo.
Kitendo cha Rais wetu kutamka hadharani kuwa watanzania waliopo Nje ya nchi wakituhumiwa Kwa biashara ya madawa ya kulevya wanyongwe tena Haraka Sana.
Inafahamika wazi kwamba siyo kila anayetuhumiwa na Dawa za kulevya au makosa mengine ni lazima awe ametenda kweli.
Kuna watu wengi hukumatwa Kwa makosa yasiyo yao.
Mwaka 2004 ktk Jimbo la Texas marekani, kuna kijani alinyongwa Kwa bahati mbaya, Cameron Todd alinyongwa akituhumiwa kuua watoto wake Kwa moto.
Mwaka 2009 ikabainika kuwa Todd hakuua na chanzo cha vifo vya watoto wake vikabainika kuwa ni nyumba kushika moto baada ya hitilafu ya umeme.
Leo hii Todd hayupo tena duniani Kwa kosa ambalo hakulifanya.
Rais anasema, wanyongwe haraka sana, anasahau kuwa kidiplomasia raia wa nchi kuuawa nje ya taifa lake ni aibu na fedheha kubwa sana.
Rais anayesema tumwombee Kwa Mungu Leo hii huyu huyu anataka mauaji ya watu wake yafanyike nje ya nchi yake.
Anasahau kuwa wakati wa kampeni alisema hautatuangusha leo tena anataka tuuawe.
Kuna watu wanabebeshwa mizigo ya madawa bila kujua, si wote ni wauzaji wa kudhamiria.
Mwaka juzi wakati wale Wa Australia wakinyongwa Indonesia, rais wa kipindi Wa Philippines alimwombea asemehe raia wake aliyekuwa kabebeshwa mzigo wa madawa bila kujua.
Hii ni aibu Sana Kwa rais kupania mauaji ya watu wake.
Sawa tuendelee kumwombea.
Wanyongwe hakuna kuwatetea............Hivi ni kosa la jinai kumkosoa Rais anapokuwa amekosea?

Kwanini asiwe amebebeshwa na Kinje au Ritzmoko??Au kwa vile hawa ni wanachama wenu??Mbona hamkuwataja??Na wengine mmewapangishia mpaka nyumba akina Masogange mbona hamjawanyonga??Na yule anayemiliki shule na Kanisa vipi mmemgusa???Tamaa zako mwenyewe, ubebeshwe sembe na mbowe ukakamatwe, then unataka rais aache kufikiria kujenga reli, kununua madawa, na mambo kibao akufikirie wewe punda mbeba sembe.Nyang'au kabisa
Labda hapo alitamka lOWASA. Magufuli alisema ukihukumiwa kunyongwa serikali haito ingilia,Hivi ni kosa la jinai kumkosoa Rais anapokuwa amekosea?
Rais ni binadamu Kama binadamu wengine wote ,huwa anakosea pia.
Akikosea ni lazima tumwambie kuwa amekosea, hatuwezi kumnyamazia hata kidogo.
Kitendo cha Rais wetu kutamka hadharani kuwa watanzania waliopo Nje ya nchi wakituhumiwa Kwa biashara ya madawa ya kulevya wanyongwe tena Haraka Sana.
Inafahamika wazi kwamba siyo kila anayetuhumiwa na Dawa za kulevya au makosa mengine ni lazima awe ametenda kweli.
Kuna watu wengi hukumatwa Kwa makosa yasiyo yao.
Mwaka 2004 ktk Jimbo la Texas marekani, kuna kijani alinyongwa Kwa bahati mbaya, Cameron Todd alinyongwa akituhumiwa kuua watoto wake Kwa moto.
Mwaka 2009 ikabainika kuwa Todd hakuua na chanzo cha vifo vya watoto wake vikabainika kuwa ni nyumba kushika moto baada ya hitilafu ya umeme.
Leo hii Todd hayupo tena duniani Kwa kosa ambalo hakulifanya.
Rais anasema, wanyongwe haraka sana, anasahau kuwa kidiplomasia raia wa nchi kuuawa nje ya taifa lake ni aibu na fedheha kubwa sana.
Rais anayesema tumwombee Kwa Mungu Leo hii huyu huyu anataka mauaji ya watu wake yafanyike nje ya nchi yake.
Anasahau kuwa wakati wa kampeni alisema hautatuangusha leo tena anataka tuuawe.
Kuna watu wanabebeshwa mizigo ya madawa bila kujua, si wote ni wauzaji wa kudhamiria.
Mwaka juzi wakati wale Wa Australia wakinyongwa Indonesia, rais wa kipindi Wa Philippines alimwombea asemehe raia wake aliyekuwa kabebeshwa mzigo wa madawa bila kujua.
Hii ni aibu Sana Kwa rais kupania mauaji ya watu wake.
Sawa tuendelee kumwombea.
Huna hata chembe ya akili ya kujiongeza, hao waliokamatwa China umeambiwa wametumwa na Mbowe? hivi huyo anayeshikiliwa kwa kuuza unga ni diwani wa chadema au ccm?Tamaa zako mwenyewe, ubebeshwe sembe na mbowe ukakamatwe, then unataka rais aache kufikiria kujenga reli, kununua madawa, na mambo kibao akufikirie wewe punda mbeba sembe.Nyang'au kabisa
Well said mkuuRais hajatudhalilisha ktk hili ila amewaambia Mabalozi walioko nje ya nchi kuwa wasiingilie kesi yoyote ila iwapo itakuwa inahusu madawa ya kulevya na waache sheria za nchi husika zichukue mkondo wake.
Tunajua kuna mambo ya kidiplomasia na nchi hufanya hivyo kama ulivyosema kama kuna makubaliano kati ya nchi na nchi na hata Tanzania utawala wa Kikwete umewahi kuwaombea walihukumiwa kunyongwa China then wafungwe maisha.
Ndiyo Rais ameshatoa maagizo na kinachofuata ni utekelezaji tu lakini si sababu ya kumlaumu Rais na kusema ametudhalilisha.
Wote tuungane ktk hii vita vijana wetu wanaangamia na wengine kupoteza maisha si wakati wa kulaumiana wala kulingana ni wakati wa kuungana kutokomeza huyu shetani unga.
Rais hajasema WATUHUMIWA bali wafungwa wa madawa ya kulevya walohukumiwa kunyongwa huko ughaibuni mpaka mtu ahukumiwe kunyongwa huyo si mtuhumiwa tena bali mharifu mwenye hatia hivyo kustahili kuhukumiwa adhabu.Hivi ni kosa la jinai kumkosoa Rais anapokuwa amekosea?
Rais ni binadamu Kama binadamu wengine wote ,huwa anakosea pia.
Akikosea ni lazima tumwambie kuwa amekosea, hatuwezi kumnyamazia hata kidogo.
Kitendo cha Rais wetu kutamka hadharani kuwa watanzania waliopo Nje ya nchi wakituhumiwa Kwa biashara ya madawa ya kulevya wanyongwe tena Haraka Sana.
Inafahamika wazi kwamba siyo kila anayetuhumiwa na Dawa za kulevya au makosa mengine ni lazima awe ametenda kweli.
Kuna watu wengi hukumatwa Kwa makosa yasiyo yao.
Mwaka 2004 ktk Jimbo la Texas marekani, kuna kijani alinyongwa Kwa bahati mbaya, Cameron Todd alinyongwa akituhumiwa kuua watoto wake Kwa moto.
Mwaka 2009 ikabainika kuwa Todd hakuua na chanzo cha vifo vya watoto wake vikabainika kuwa ni nyumba kushika moto baada ya hitilafu ya umeme.
Leo hii Todd hayupo tena duniani Kwa kosa ambalo hakulifanya.
Rais anasema, wanyongwe haraka sana, anasahau kuwa kidiplomasia raia wa nchi kuuawa nje ya taifa lake ni aibu na fedheha kubwa sana.
Rais anayesema tumwombee Kwa Mungu Leo hii huyu huyu anataka mauaji ya watu wake yafanyike nje ya nchi yake.
Anasahau kuwa wakati wa kampeni alisema hautatuangusha leo tena anataka tuuawe.
Kuna watu wanabebeshwa mizigo ya madawa bila kujua, si wote ni wauzaji wa kudhamiria.
Mwaka juzi wakati wale Wa Australia wakinyongwa Indonesia, rais wa kipindi Wa Philippines alimwombea asemehe raia wake aliyekuwa kabebeshwa mzigo wa madawa bila kujua.
Hii ni aibu Sana Kwa rais kupania mauaji ya watu wake.
Sawa tuendelee kumwombea.
Mwambie ukweli. Unabebeshwaje mzigo usioujua? Watanzania wengi waliokamatwa China wanakiri kabisa kuhuska na unga. Na kwa sasa watanzania tunatsha ktk hili. Ukose wewe mlipa kodi abebe mzigo. Kafie huko na unga wako. Watu walisema ngwea hasambazi unga. Nini kilitokea? Tuache upumbavu, tupange maisha kwa akili na siyo kubeba mzigo usioujua.Tamaa zako mwenyewe, ubebeshwe sembe na mbowe ukakamatwe, then unataka rais aache kufikiria kujenga reli, kununua madawa, na mambo kibao akufikirie wewe punda mbeba sembe.Nyang'au kabisa
Wanataka Rais awe dhaifu wakati Tanzania imeanza kutajwa kama one of the major highways ya drugs traffickers ktk Afrika na hawatambui kuwa hali hii inaharibu profile ya nchi kimataifa.Nikimsikia Rais akisema walio hukumiwa sio kutuhumiwa acheni uzushi!. Mnaaondoka lenu jambo kwa ushuhuda wa watoto niliowaona jana Tanzanian isijihusishe kabisa na hao watu na kadri muda unavyo songa nimegundua watu wengi wapo kwenye hili janga ndio maana wanatoa mapovu kama ya Omo. Kaza uzi Rais.
Hivi ni kosa la jinai kumkosoa Rais anapokuwa amekosea?