OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,715
2016- Tamisemi ilihamia Ofisi ya Rais
2017- Manunuzi yote yalihamia ofisi ya Rais
2017- Mikataba yote ya ujenzi wa miradi mikubwa Right pointing backhand indexofisi ya Rais
2018- ATCL ikahamia chini ya ofisi ya Rais
2020- TIC inahamia kwake
Na sasa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu kwenda Ofisi ya Rais. Amesema anataka kupambana na wale wanaokwamisha uwekezaji, kwani anataka muwekezaji apewe kibali ndani ya siku 14.
Kwa sisi wataalamu tunaamini taasisi zikiimarika nchi imeimarika na itabaki imara siku zote kwa sababu zimejijenga. Lakini kwa hicho anachofanya Rais maana yake asipokuwepo yeye mambo hayaendi.
Wanamichezo tanamuomba na TFF, Simba na Yanga azihamishie ofisi ya Rais