Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,469
Tokea Magufuli alivyoingia Ikulu Watanzania wamefarijika na wamefaidika.
Juhudi zilizofanyika kuwathibiti wakwepa kodi, mafisadi, wala rushwa. wazembe: hii ndio ilikuwa ndoto ya Watanzania siku nyingi.
Sasa Magufuli ameingia madarakani anatekeleza msmbo haya.
Bado zipo changamoto za kuleta harmony ndani ya nchi na harmony kati yetu na majirani.
Lakini Watanzania tudishindwe and let us make quarrelling history.
Tuishi kwa a man I from now and forever more.
Na za bukobaZipo ml kama 300 na kitu zimetoka pale hazina zikapitia NMB watu wakaenda na mifuko ya kaki kibao wakagawana.
Haki ipi unayoitaka wewe?? Ya kunya barabarani??Hakuna amani bila haki.Hakuna Maendeleo bila Uhuru. Ufisadi na Rushwa kwa sasa ni kubwa mno kuliko kipindi cha JK.Na tunatarajia wizi mkubwa mno kuliko enzi za Mkapa.Na kama ndiyo hii unaiita siasa safi na Uongozi bora basi siyo Kama niipende CCM pamoja na Uongozi wake toka TANU mpaka leo
Magufuli amefanya nini kudhibiti mauaji hayo ya albino na Vikongwe? Sijawahi kusikia japo akiinua mdomo wake kukemea!! Magufuli hana lolote la kujivunia kuhusiana na vita dhidi ya mauaji ya Albino na wazee!! Acha kumdhihaki!!Hukusikia mauaji ya vikongwe kwa tuhuma za uchawi yamepungua asilimia 50 mwaka Jana. Huo so ushindi kwa Magufuli? Hiyo siyo nirvana?
hivi kuna watu bado wanawaza maujinga ya socialism at this age! katika mambo yaliyotuchelewesha watanzania kimaendeleo basi ni ile miaka 25 ya awamu ya kwanza ya ujamaa
Hakuna amani bila haki.Hakuna Maendeleo bila Uhuru. Ufisadi na Rushwa kwa sasa ni kubwa mno kuliko kipindi cha JK.Na tunatarajia wizi mkubwa mno kuliko enzi za Mkapa.Na kama ndiyo hii unaiita siasa safi na Uongozi bora basi siyo Kama niipende CCM pamoja na Uongozi wake toka TANU mpaka leo
Njaa mbaya sanaTokea Magufuli alivyoingia Ikulu Watanzania wamefarijika na wamefaidika.