Rais Magufuli amekaribisha upinzani Serikalini mwake

Mwanzoni nilidhani upinzani umekwishiney kumbe bado wanakazi ya kufanya. Waanzie na prof. Muhongo

CHADEMA kimekuwa chama cha majungu na ukosefu wa nidhamu tu sasa. Hawana lolote la maana kwani walishakumbatia watu wachafu, Lowassa na Rostan, kuliko yoyote Tanzania.
 
Prof. Muhongo aliongea ukweli mtupu na akasema yeye hamzuii mtu kuomba na akasema bei ya maombi peke yake ni dola 700,000 za kimarekani ambazo hazirudishwi na gharama nyingine nyingi na kubwa na akasema waende TPDC ndo imekabidhiwa mambo yote hayo,sasa hapo ubaya wa muhongo uko wapi?
 
Back
Top Bottom