Rais Magufuli amebadilka sana

Rais Magufuli amebadilka sana

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,114
Reaction score
5,114
Rais Magufuli amebadilka sana hasa katika siku za karibuni.Nimepata angalau wasaa wa kuangalia akishiriki shughuli mbalimbali na naona kuna unyenyekevu fulani ambao haukuwepo mwanzoni.

Namsikiliza akitambua uwepo wa viongozi wengine,nimemuangalia body language na tone akitamka "Mheshimiwa ...." kwa kweli kwangu naona kuna mabadiliko makubwa.

Namuombea Mwenyezi Mungu azidi kumpa hekima,aongoze nchi kwa haki na usawa na amalizie miaka mitano ijayo kwa kuwaunganisha zaidi Watanzania wote!!
 
Hajabadilika popote, huyu alitamkalo ni tofauti na alitendalo, yaani ni unaa Wa hali ya juu kumshinda hata shetani
 
Hana makuu, angesema yeye ni nabii ila manabii uchwara wanajitangaza bila aibu. Hakika JPM ni jembe
 
Amebadilika kiroho na kimwili? Kama ni kimwili hayo ni magirini tuu kwa kufanikisha jambo fulani au kuteka akili za kundi fulani la watu.
 
Si yeye na hao waheshimiwa wengine wamebadilika tuu ndio wamebadilika, ila kila mtu amebadilika na kila kitu hubadilika.
 
Back
Top Bottom