Rais Magufuli aliposema nchi hii ina pesa, fahamu hili na lingine lililojificha usilolifahamu

,jiamini ,akili unazo,kama huwezi zitumia ipasavyo,utaishia kua mlalamikaji Siku zote za maisha yako,I can,we can, do!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah ujiamini kwenye hamna? Kwa elimu inayotolewa na serikali ya CCM kwa watanzania tutaendelea kutembeza bakuri kwa muda mrefu Sana huku tukijifariji kuwa tuna resources nyingi Sana.
 
Nasimama na JIWE daima ila simpendi DAB

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mnalishwa matango pori kuwa nchi ina pesa. Jiulize:
1. Kama nchi INA pesa kwa mini bajeti ya nchi inafadhiliwa na donors kwa kiwango cha 40%?
2. Watumishi was serikali hawajapata nyongeza ya mishahara kwa mwaka was 4 was 4 sasa!
3. Ajira zimebanwa ile mbaya! Ajira zinatoka kama matone ya maji!.
 
1 ) Now jiwe anajitahidi kuendesha nchi bila misaada ya donor country mfano baadhi ya nchi za Scandinavia zinadai jiwe ni kiburi sababu anajidaia gesi so hapa tunaona kuwa tz inaweza kujitegemea na kinachompa jiwe wakati mgumu ni kutokuta misingi ya kujitegemea

2 ) Mzee baba jiwe ameshasema kuliko kuongeza mtonyo kwa watumishi ni bora akapeleke hiyo pesa kwenye kumaliza tatizo la umeme (hapa kafanya maamuzi magumu kama Mao)

3 ) Palipo na umeme wa uhakika kuna viwanda na penye viwanda kuna ajira ache tumvumilia afanye yake
Mnalishwa matango pori kuwa nchi ina pesa. Jiulize:
1. Kama nchi INA pesa kwa mini bajeti ya nchi inafadhiliwa na donors kwa kiwango cha 40%?
2. Watumishi was serikali hawajapata nyongeza ya mishahara kwa mwaka was 4 was 4 sasa!
3. Ajira zimebanwa ile mbaya! Ajira zinatoka kama matone ya maji!.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Mkuu unajua kuna watu wanafikiri Magufuli atarudi nyuma kwa kejeri zao mitandaoni ,ilishindikana alipokua waziri,leo kawa rais wategemee nzito zaidi.
Kikwete walimyumbisha.
Magufuli wangetafuta historia yake kabla ya kumdeshi,hajawahi badilika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kangomba watalipwa hela za koroshow.... Haturudi nyuma sie 😂 😂
 
Kuna uzi mtoa mada amejaribu kulinganisha ya cag na bunge na ya pierre.
 
Ni kweli kabisa nchi hii inahela kwanini akajikombe kwa wazungu, na kwa kuthibitisha nchi ila hela, kila mwaka serikali inapoteza si chini ya trillion moja kila mwaka, na bado tunataka kumfukuza kazi CAG maana anatuletea usiku na kushindwa kupiga hela nyingi, yaani uko sawa kabisa kada mwenzangu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom